frank mayige
Member
- Jan 5, 2013
- 61
- 11
Kwaio ulitoa hela na wewe kabla ya hio interviewHao matapeli sana. Hata Mimi walinifanyia interview ya namna hiyo wiki 3 zilizopita. Nafasi ya M&E, FEMA ndio walikuwa wanahitaji mtu
cjatoa niliona ananizingua kwa maneno meeengi nikakata cmu.Kwaio ulitoa hela na wewe kabla ya hio interview