Racism everywhere [How White hates Blacks]

I have come to prove that wazungu kweli hawatupendi watu weusi, yani wanatuona taka kabisa. sema hatujui tu!
Watch this woman how she disrespected us unashamedly


What could you have done?!!!!
😛eace:

I have come to prove that
wazungu kweli hawatupendi
watu weusi, yani wanatuona
taka kabisa. sema hatujui tu! Watch this woman how she
disrespected us unashamedly
Youtube Video
What could you have done?!!!!
 
Last edited by a moderator:
Guys racism is every where ... hata blacks pia ni ma racist .... mimi huwa i really dont care .. sometimes nakuwa kwenye public transport kiti nichokaa hakuna white ambaye anakuja kukaa.. basi huwa najiachiaa.... but jeuri yao inakuwa imekwisha wanapokuja hospital lafu wanakuta aliye oncall ni black dude.. wanakuwaa wadogoo!

hii kitu isiwaumize kichwa ipo kila mahala hadi huko tanzania ipo nawapa mfano wa tz wanavyochukia wahindi.. inafika kipindi wengine wanasema warudishwe kwao kabisaa just kwasababu ni muhindi hata kama alizaliwa bongo..

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
Huyo mama ni miongoni mwa wale stupid white people waliopigika kimaisha...wanadhani uwepo wa watu weusi ndo unawafanya wapigike..tatizo ni wavivu awataki kupiga box
 
ifikie kipindi tukumbukke historia ya nyuma. Ushenzi huu wa wazungu umeanza tangu kipindi hicho wakati ukoloni unaingia. mengi mabay yamesemwa juu ya mwafrika ikiwa ni dharau waliyoiweka wazungu dhidi ya mwafrika. Yupo profesa mmoja wa chuo fulani kulle uingereza alifikia hatua ya kusema kwamba waafrika ni washenzi ambao kwao hata kama iweje hawawezi kustaarabika. Afrika ni giza na giza halina lolote la kihistoria. Ni ushenzi huu ndio ambao unaendelea mpaka leo. Hawa ni mashetani tu ambao kama ningekuwa na uwezo wangekuwa terminated katika hii dunia.
 

vipi unaishi wapi ? humu duniani??

waarabu, wahindi, mongolese, red indians, latins, blacks wote ni racists tu.... angalia kwenye social integration utaona kwamba ubaguzi upo kote tu
 
I have come to prove that
wazungu kweli hawatupendi
watu weusi, yani wanatuona
taka kabisa. sema hatujui tu! Watch this woman how she
disrespected us unashamedly
Youtube Video
What could you have done?!!!!

I view this person as ignorant, fool and unexposed... wapo kila sehemu hata sisi tunawaita all names weupe... nadhani ubaguzi ni mtu na mtu, na ukimsoma huyo anayelalama ni kwamba maisha yamemshinda sasa kashindwa cha kufanya analaumu foreigners weusi.

WHAT IS THE DIFFERENCE KATI YA HIYO NA ULE WARAKA, NA MATENDO YA WASAUZI WANAOTUCHOMA MOTO SAUZI?? TENA TARGETING EAST CENTRAL AND SOUTHERN AFRICA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…