R.i.p mtanzania

nikiambiwa niipe maneno hiyo picha nitasema.....inaonekana alikuwa mgonjwa sana kitu kama TB hivi,na alitelekezwa na ndugu zake kwa hiyo mpaka mauti yanamkuta alikuwa peke yake

Huyo kafa kwa issue nyingine kabisa! Yaani alienda bila shati! Akina jamaa wale wenye yale makanisa yalokosa waumini!
 
Nimepiga mwenyewe na Digital Camera yangu hii ilikuwa Saa 10 na nusu Alfajiri,Baada ya kuisha mvua iliyoanza kunyesha toka jana yake Saa moja asubuhi,Na siyo hii pekee zipo picha nyingi sana za kutisha
 

kWETU WAUMINI WA KRISTO TWAJIFUNZA HAYA katika Waebrania 11:1:
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya​
mambo yasiyo-onekana .

Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu
amwendeaye Mungu lazima aaini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa​
thawabu wale wamtafutao (Waebrania 11:6).

aMINI PIA UNAYOSIMULIWA...

 
Mungu atunusuru, naona kama ni mlevi huyu kiume mwenzetu. katika hali ya kawaida watu wangeweza kumsaidia watanzania siyo watu wabaya kiasi hicho. Anyway yote maisha. RIP mtanzania mwenzetu.
 
Kicha cha habari si kizuri, si tu member hapa anatumia jina hili na aliwa kupambana na mH fulani huko Mbeya? mimi nimeona hiki kichwa nimeshtuka saana.

Mtanzania kila kheri ndugu yangu, aliyetutoka mola lala mahali pema peponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…