Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Hawana jipya hawa wachaga
hebu shika adabu yako usitumie akili za kuku..aliekuambia ni chama cha wachaga nani? silaa, lisu, mnyika, mdee, wenje,na wengineo ni wachaga? ni sahihi kusema ccm ni chama cha wazaramo?
wakat mwingine uwe mtu mzima..
Ni dhahiri chama kinaelekea kaburini...
Utaanza wewe na chadema yako.wasting time posting stupid things! utakufa wewe ukiache CHADEMA kikishamiri
Liko wazi sana nini ambacho hujui mpaka ushangae,bavicha bana.hebu shika adabu yako usitumie akili za kuku..aliekuambia ni chama cha wachaga nani? silaa, lisu, mnyika, mdee, wenje,na wengineo ni wachaga? ni sahihi kusema ccm ni chama cha wazaramo?
wakat mwingine uwe mtu mzima..