Duh jamaa miaka ya nyuma sana tulikuwa tunakula nae lager mitaa ya Magomeni Kagera. Kweli kila mtu ana siku yake. Hivi alikuwa anaumwa nini? R.I.P Twanga pepeta sugu!
Baada ya kutumika sana twangapepeta hatimaye mwaka Jana aliamua kuwa na bendi yake binafsi....!!! Alitimiza ndoto lakini hakuweza kuifurahia, ameondoka R.I.P Amigoras/Amigolas