Wenzenu ni kina nani au jamii ya Trump na Amerika yake ambapo mtu anamzidi mwenzake kwa zaidi ya kira mil 2 lakini mwenye kura pungufu ndiye anakuwa rais?
uyu jamaa alwai waambia wanajesh na askar waku hivi, " why you need pay while you have a gun" ko askar wakawa wanapora mal za raia. yaan askar anaweza akaingia dukan kwa mhind akachukua sukar, sabun mchele af kasepa. Africa kuna mambo jaman achen tu

Hahaaaaaaaa......huwa nafungua video zake you tube nachek chek...sema sipati data za ndani za huyu jamaaa....naishia kusikia tu....mtu mwenye video zake za ndani ndani tofauti na zile za you tube atumwagie
Alikuwa mojawapo wa wanadamu wenye miili mikubwa lakini akili ndogo kama ubongo wa samaki. alikuwa mfano wa bogus kabisa kabisaaaa. ukimsikiliza anaonyesha picha halisi ya mtu aliyekosa elimu na hajui kama hajui.

Kuna namna tofauti tunatafsiri ukubwa wa ubongo, jamaa huenda alikuwa na ubongo mdogo kama ulivyosema lakini alitumia vizuri ndio maana hadi Leo tunamzungumzia hapa.
Infact idi is among the most successful men in the world.
Lengo la ujumbe ni kuwa kila mtu achunge anachoongea ,ukiongea ukishamaliza kuna KIMOJA kati ya mawili chaweza kukupata
1.Kupigiwa makofi au
2.kupigwa makofi
Kipi kitatokea UKISHASEMA IDD AMIN ndicho alisema I CANT GUARANTEE