Quiz!!

Quiz!!

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,404
Reaction score
3,061
Quiz (5 marks)

1. Define escrow, and clearly differentiate and compare it with EPA.

2. Basing on your experience as Tanzanian, do you think they will bring back our money?

3. Critically and with logical arguments examine the relationship between Escrow scandal and tezi treatment.

4. With vivid examples, illustrate how politicians are ------.

5. Do you think what will be the next scandal after this one?, explain basing on your experience with Tanzania.
 
Umejitahidi kutunga maswali bila shaka utakuwa mwalimu wewe

Hahaha! Kawaida tu mkuu!! Maana leo nimekaona Ana Makinda kanavyotaka kuuzima huu mjadala mkali wa wapiga pesa zetu!

Kamenikera sana!!
 
Mie ngoja nipeleke nitafute kibomu cha kuangalizia huo mtihani, taarifa za CAG na PAC zitanisaidia na uchangiaji wa wabunge hpo jumatano
 
Karibu sana mkuu! Hii swaga jumatano,maofisini watu hatutafanya kazi,macho yatakua kwenye kideo!!
Nakumbuka siku laigwanani anakula mweleka nilikua mwaka wa kwanza chuo,nilikua na paper siku hyo,nilimcheki mzee Lowasa anaanguka,nami nikaenda kutana na paper kisiki nikala hadi supp!!
 
hahahah....Wazee Wa Chabo Tunasubr Wakali Wajibu
 
Quiz (5 marks)

1. Define escrow, and clearly differentiate and compare it with EPA.

2. Basing on your experience as Tanzanian, do you think they will bring back our money?

3. Critically and with logical arguments examine the relationship between Escrow scandal and tezi treatment.

4. With vivid examples, illustrate how politicians are ------.

5. Do you think what will be the next scandal after this one?, explain basing on your experience with Tanzania.

I just ended up laughing- not for pleasure but laughing in bitterness.How I hate this monster, they call ESCROW.
 
Quiz (5 marks)

1. Define escrow, and clearly differentiate and compare it with EPA.

2. Basing on your experience as Tanzanian, do you think they will bring back our money?

3. Critically and with logical arguments examine the relationship between Escrow scandal and tezi treatment.

4. With vivid examples, illustrate how politicians are ------.

5. Do you think what will be the next scandal after this one?, explain basing on your experience with Tanzania.

mkuu Mawazo UJENZI naomba utupe maelezo sahii ya namna ya kufanya hayo maswali, maana sisi wakina Shy land tumeishia darasa la saba, hata kingereza hatujui.

lakn swali la tano hapo lazma nipate marks.
 
Last edited by a moderator:

Usijali mkuu,kesho ntakuja na majibu yate!!

Shy land sehemu gani?? Maana buluba O level,palihusika pale!
 
Last edited by a moderator:
Quiz (5 marks)

1. Define escrow, and clearly differentiate and compare it with EPA.

2. Basing on your experience as Tanzanian, do you think they will bring back our money?

3. Critically and with logical arguments examine the relationship between Escrow scandal and tezi treatment.

4. With vivid examples, illustrate how politicians are ------.

5. Do you think what will be the next scandal after this one?, explain basing on your experience with Tanzania.

So hii quiz ina take mda gani!?
 
Kana roho ngumu sana haka ka bi kiroboto! Hakakawii kujifwatua,na kusema report ya CAG na TAKUKURU ni fake!

Na ndiko tunakoelekea huyu bibi kiroboto hatari sana kwa mstakabali wa taifa ndo mana wamemweka yeye badala ya Ndugai
 
Quiz (5 marks)

1. Define escrow, and clearly differentiate and compare it with EPA.

2. Basing on your experience as Tanzanian, do you think they will bring back our money?

3. Critically and with logical arguments examine the relationship between Escrow scandal and tezi treatment.

4. With vivid examples, illustrate how politicians are ------.

5. Do you think what will be the next scandal after this one?, explain basing on your experience with Tanzania.

M4C mko wapi???
 
Back
Top Bottom