Kwa wataalamu wote wa mtandao,
Natafuta mtaalaamu wa program ya quick book au progam yoyote itakayonisaidia kwenye biashara ya dawa,
itakayo onesha kiasi cha dawa kilichoingia, kilichotoka na kilicho baki.
Mwenye taaluma hiyo tuwasiliane niko hapa Dar.