Stringebell,jamani kwani kuna tatizo gani kuwa na serikali 3?its about time this things need be sorted out ,waasisi wa muungano wote hakwenda mbele ya haki ,cha ajabu ni kwamba bado watu wanamawazo ya kinyerere ,in our modern days this things called MUUNGANO doesnt work anymore .one solution is to bring serikali 3,lets forget about hii zana ati nyerere kasema.yule mtu alikuwa binadamu kama sisi.
kwa ushauri wangu kungekuwa na serikali ya tanganyika,serikali ya zanzibar,na serikali ya shirikisho ambayo itashughulikia ,ulinzi ,mambo ya ndani na sarafu tu.
kila nchi itadeal kivyake na mambo ya fedha,ushuru,wizara ya nje,n.k
solution nyengine ni kuvunja muungano kabisa kila mtu awe na mambo yake independent lakini uhusiano uwe wa freedom of kutembea na kukaa sehemu mojawapo utakayo muhimu uwe na passport na huu ni mfano kama european union kwasbabu wao wanatembeleana bila haja ya viza.
huu ni opotoshaji...hivyo vigezo vyako havitoshi kutetea muungano . kwanini mambo 11 ya muungano sasa yamekua zaidi ya hamsini kisiri siri. kwanini hawataki kura ya maoni dhidi ya muungano. hayo mawazo ya nyerere yamepitwa na wakati...yule mzee alikua DİKTETA... NA KAMA WEWE Nİ MFUASİ WAKE ,HAPA HUMPATİ MTU.Makubaliano yalikuwa ni ya Serikali mbili sio tatu (Rejeeni hati za Muungano)! Na huko kubadilisha jina toka Tanganyika kuwa Tanzania Bara hakuna ubaya wowote. Ni kama vile kubadili jina la Serikali Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kuhusu cheo cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutokuwepo kwenye hati za Muungano, sioni tatizo liko wapi hapa. Hizo Hati hazikutakiwa kubadilika milele? Tulitakiwa tuwe na Serikali isiyo na Mwanasheria Mkuu? Vile vile katika Hati za Muungano imeandikwa kama ifuatavyo:
" During the period from the commencement of the union until the Constituent
Assembly provided for in Article (vii) shall have met and adopted a Constitution
for the united Republic (hereinafter referred to as the interim period) the
united Republic shall be governed in accordance with the provisions of Articles (iii) to (vi)."
Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi ni kwamba wakati wa mpito (interim period), hadi kuanzishwa kwa Katiba ya Kudumu Jamhuri ingeongozwa kwa Hati za Muungano (iii) - (vii)! Kwa maana hiyo Hati za Muungano zilikuwa ya muda hadi kuundwa kwa Katiba ya Kudumu! Katiba ya Kudumu ilipoundwa ilijumuisha Hati za Muungano ambazo zilifanyiwa marekebisho mara kwa mara hasa baada ya kuvunjika kwa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi, nk.
Ndio maana katika aya ya (v) ya Hati za Muungano imeandikwa kama ifuatavyo:
(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in
their respective territories subject-
(a) to any provision made hereafter by a competent legislature;
(b) to such provision as may be made by order of the President of the
united Republic for the extension to Zanzibar of any law relating to any
of the matters set out in Article (iv), and the revocation of any
corresponding law of Zanzibar;
(c) to such amendments as may be expedient or desirable to give effect to the
union and to these Articles.
Katika kipengele (c) hapo juu inaonesha kwamba Hati za Muungano zinaweza kuwa amended!
Mwisho: Kwa kuwa suala la Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania si suala la Muungano basi si vibaya kuwepo kwenye Katiba!
Makubaliano yalikuwa ni ya Serikali mbili sio tatu (Rejeeni hati za Muungano)! Na huko kubadilisha jina toka Tanganyika kuwa Tanzania Bara hakuna ubaya wowote. Ni kama vile kubadili jina la Serikali Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kuhusu cheo cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutokuwepo kwenye hati za Muungano, sioni tatizo liko wapi hapa. Hizo Hati hazikutakiwa kubadilika milele? Tulitakiwa tuwe na Serikali isiyo na Mwanasheria Mkuu? Vile vile katika Hati za Muungano imeandikwa kama ifuatavyo:
" During the period from the commencement of the union until the Constituent
Assembly provided for in Article (vii) shall have met and adopted a Constitution
for the united Republic (hereinafter referred to as the interim period) the
united Republic shall be governed in accordance with the provisions of Articles (iii) to (vi)."
Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi ni kwamba wakati wa mpito (interim period), hadi kuanzishwa kwa Katiba ya Kudumu Jamhuri ingeongozwa kwa Hati za Muungano (iii) - (vii)! Kwa maana hiyo Hati za Muungano zilikuwa ya muda hadi kuundwa kwa Katiba ya Kudumu! Katiba ya Kudumu ilipoundwa ilijumuisha Hati za Muungano ambazo zilifanyiwa marekebisho mara kwa mara hasa baada ya kuvunjika kwa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi, nk.
Ndio maana katika aya ya (v) ya Hati za Muungano imeandikwa kama ifuatavyo:
(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in
their respective territories subject-
(a) to any provision made hereafter by a competent legislature;
(b) to such provision as may be made by order of the President of the
united Republic for the extension to Zanzibar of any law relating to any
of the matters set out in Article (iv), and the revocation of any
corresponding law of Zanzibar;
(c) to such amendments as may be expedient or desirable to give effect to the
union and to these Articles.
Katika kipengele (c) hapo juu inaonesha kwamba Hati za Muungano zinaweza kuwa amended!
Mwisho: Kwa kuwa suala la Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania si suala la Muungano basi si vibaya kuwepo kwenye Katiba!
Mr bucha
wewe nilikwambia zamani kama bado una zile ideology za dikteta nyerere ,hiyo katiba unayosema wewe kwani msahafu au biblia haibadilishiki.the articles of the union only worked back in days ambapo siasa mbovu ya ujamaa na viongozi wote wawili walikuwa madikteta haikimruhusu mtu yoyote kuhoji huu muungano wetu .
siku zote kutakuwa na malalamiko unless kila upande uwe na taifa lake ,relation ambayo ni nzuri iwe kama ya european union .ikiwa USSR wameweza kufunja muungano wao kwanini sisi tusivunje .this things called muungano doen't work anymore in this modern days.
nyerere failed in ujamaa,leadership and the last thing is this one MUUNGANO.
No one cares because umaksini utakuwa ule ule. Leteni topics zamaana. This is trivia
Afadhali wewe Kinyambiss unafikiri nje ya box ndugu yangu! Kuna watu wanashabikia tu Muungano uvunjike na ukiwauliza kuwa Muungano ukivunjika zahanati zitajengwa, barabara za lami zitajengwa, nk kwa kuvunjika kwa huo Muungano, hawana majibu! Wamebebwa na wanasiasa wenye uchu na madaraka na ubinafsi!
naomba unipe faida moja ya muungano basi.watanganyika wanalalamika kwamba wanaibeba zanzibar kiuchumi ,na wazanzibar wanalalamika kwamba wanadhulumiwa kwenye maswala ya mapato.sasa hebu niambie who benefited more in this stupid muungano kwa uhakika ni tanganyika.how many times zanzibar tried to break away from the union and only tanganyika who keep trying cool it down,does tanganyika love zanzibar that much or just something fishy going on!!
i think we need a referendum lets the peoples decide the outcomes instead of the politicians

Kwa hiyo unshauri tuwe na kura kama ile ya ccm na cuf inayotegemewa kuwepo mwaka huu?