J joel elias Member Joined Jul 21, 2019 Posts 34 Reaction score 14 Aug 23, 2019 #1 Jaman wakuu naombeni msaada kama kuna mtu yeyote aliyesoma koz inaitwa project planning anielezee kdg ubora wake na soko piah maana nmechaguliwa hyo lakin sijawa exposed sana juu ya hyo koz msaada plz
Jaman wakuu naombeni msaada kama kuna mtu yeyote aliyesoma koz inaitwa project planning anielezee kdg ubora wake na soko piah maana nmechaguliwa hyo lakin sijawa exposed sana juu ya hyo koz msaada plz
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Aug 23, 2019 #2 Kubuni miradi na kuisimamia.
J joel elias Member Joined Jul 21, 2019 Posts 34 Reaction score 14 Aug 23, 2019 Thread starter #3 Tnx mkuu
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,053 Reaction score 15,515 Aug 23, 2019 #4 Enzi hizo wakati mashirika ya kimataifa yanafanya kazi na tanzania hii kitu ilikuwa na soko sana. But sasa Imedorola. Lakini iko poa
Enzi hizo wakati mashirika ya kimataifa yanafanya kazi na tanzania hii kitu ilikuwa na soko sana. But sasa Imedorola. Lakini iko poa