quele quele love!

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
525
nasty ninaumbe kwa wale mafataki au makunguru au madege yasioliwa kuwa sitishiki na magari yeenu judgement kaja na baiskeli nikamridh haya we unaejifanya wataka kuja na hummer pole weee coz u dont impress me coz u drive a hummer and kama waweza sikiliza wimbo wa tiwa savage quellequelle love.mewamic lakin mebanwa na mama mzazii hatak hata niwe biz na jf mmmh my jg soon ntaondoka huku nije nyumban
 
In aza weds humtaki bishanga? Una hakika hutaki kulala kwenye li apartment,dina serena,rav4 brand nyu hutaki,holiday dubai hutaki,na kukupeleka london ukafanye masters vipi? Sema love hutaki raha wewe? Eti baiskeli,kha,hujipendi?
 
Mempenda jg with no conditions dats why najionea raha na laaziz wangu judgement mieee
 
In aza weds humtaki bishanga? Una hakika hutaki kulala kwenye li apartment,dina serena,rav4 brand nyu hutaki,holiday dubai hutaki,na kukupeleka london ukafanye masters vipi? Sema love hutaki raha wewe? Eti baiskeli,kha,hujipendi?

Bishanga zat dalili ni dhahir sasa unahitaji nikuhamishie tulipokutoa fcbk! Aidha ni kama vile unatafuta shipa (simtank ltr 50)
Tahadhari mkuu ikiwa huhitaji tena kuvaa jeanz na suruali zako za vitambaa endelea! Utamaliza muda wako sayarini ukidumu na msuli.

Upande wa rare nadhani utakua umebugi step , sasa hivi nna hela mpaka najitamani nijiteke mie mwenyewe!
 
Love mpe huyo
 
beibe nasty mzima weye?? wallah mapenzi hupaliliwa ndio kama hivi, kha!
 
Last edited by a moderator:

Niambie "MamaaPenz"
unanisuuzaje unavyosema nao washakunaku na visongolokwinyo?

Yaani naskia-laa-mpaa-looni !
Note : propasal yako uliyoniachia nikununulie kiwanja , inshort kiwanja nishakipata around shower Lake Vicy!
Tittle did na mavimbwanga vyose nishamaliza registared Nasty Beibe!

Wao waache wabwabwaje mie natenda.
 
Tenda babaa......tenda miujizaa! Lol
 
Hivi kweli hicho kitambi cha muda ndo kinakufanya uwe fataki.....wajameni??? Unanisikitisha sana.....
Kipipi upo best??? kha! sikusomi kabisa pande hizi!
 
Last edited by a moderator:

Hny wangu usinfanye nipige yowe uuuwiii cchinekeeee my hasbandoooo heeeeeeee thank uu loove
 
Hivi kweli hicho kitambi cha muda ndo kinakufanya uwe fataki.....wajameni??? Unanisikitisha sana.....

Kha! We Kipipi, ni hili tu au kuna jengine? Haluu!!
 
Last edited by a moderator:
Kha! We Kipipi, ni hili tu au kuna jengine? Haluu!!

Mie nasikitika sana mtu akipendwa alafu anaanza uchenjeu wa kutengeneza distributaries zisizo rasmi!! Sio vizuri kabisa.......utanisoma tu Kaizer, manake nitakuganda mpaka nafsi yako ikusute!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…