Naam kwa sasa umeiweka vizuri...Hizi ndio series bora kwangu za muda wote hasa hiyo iliyopo namba moja
Kuna ingine inaitwa Marvel's angel of shield
Mtaalam nifanyie maarifa ya season 2 Condor, Missing na The homeland.
Mtaalam nifanyie maarifa ya season 2 Condor, Missing na The homeland.
Unaanzaje kwa mfano kutazama series za Waafrika...!!!
Ngoja nikupeleke China tafuta Ode to joy yenye eng subtitle utajifunza mengi sana.
Mzee hadi Rome umeweka kaa series kali au ulipenda Nudity..ni kweli moja kati ya series bora Breaking Bad ipo na nimeitazama nimeielewa. Lakini bado hizo nilizoorodhesha zitabaki kua bora hafu ndio ifate Breaking bad..
Series bora niile ukiangalia unapata tamaa ya kuona episode inayofuata
Serious? Homeland ya Brody?Missing ni kali kuliko homeland, ungekua karibu ningekupatia the homeland
Rome ni siasa oriented, mm napenda Heist na Intelligence series orientedNingependa nudity ningekutajia za namna hiyo. Nadhani rome hujawahi iona.
labda huo upuuzi ndio uzuri wa hio series...
inategemea unapenda genre ipi/zipi..., anyway binafsi vitu ambavyo havina logic (na hapa logic ninamaanisha logic ya kwenye set-up ya maudhui yenyewe) sio character building inatengeneza mtu ambaye anaweza aka-detect uongo hata kabla mtu hajafungua mdomo...., alafu ALAS!!!! mwishowe anakuja kudangangwa na uongo ambao hata mimi layman ningegundua....,
Hiyo Rome ni kali lkn inaishia katikati series ya 2 tu
Nikikua natafuta mtu atakayesifia Vikijg, ninayo complete season ila sijamaliza hata S1. Ya kawaida mno bora peaky blinders.. hakuna series inayoishinda GOT upande wa writingSerious? Homeland ya Brody?
For me: Homeland is my #1 series following Vikings & Peaky Blinders.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Vikings haieleweki S01 lakini huko mbele ni hatari tupu: A farmer who became a king (Ragnar Lothbrok)Nikikua natafuta mtu atakayesifia Vikijg, ninayo complete season ila sijamaliza hata S1. Ya kawaida mno bora peaky blinders.. hakuna series inayoishinda GOT upande wa writing
Anzisha group kisha weka link hapa..wadau tupo wengi. Ndio vilevi vyetu..Mmenigusa sana. Ngependa tuanzieshe group la whatsapp la Series. Kama tutaweza share series mbalimbali na kushauriana pia. Naweka namba yangu. Ili mtu anitumie text whatsapp so huna huja ya kujitambulisha huku unatumia jina gani? Napenda tuweze kushare maana mimi mpenzi sana wa series.
0768 007 085
Duuh ngoja basi nijitahidi kuangalia maana inanikatisha tamaa.. na vike hqta writing zake sio konki kama GOTVikings haieleweki S01 lakini huko mbele ni hatari tupu: A farmer who became a king (Ragnar Lothbrok)
Hii series imejaa vitu kibao: brotherhood,betrayal,religions,kingdom,wars,love,loyality etc...
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app