Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Kuna ingine inaitwa Marvel's angel of shieldDuniania kuna series tatu tu hayo mengine mwajisumbua...
- Games of thrones
- Prison break
- 24
Queen sono series ya nchi gani?
Duniania kuna series tatu tu hayo mengine mwajisumbua...
- Games of thrones
- Prison break
- 24
Hujawahi angalia series ndo maana. Huifahamu hata Breaking Bad? Huhifahamu The Carnival, Rome etc. Hizo ulizotaja ni Series za walioiga iga kuangalia series. Kwa sisi wakongwe tuna series nyingi sana bora zaidi ya hizo. Hata OZ. huhifaham... Acha wanaojua Series wakuambie.
Duniania kuna series tatu tu hayo mengine mwajisumbua...
- Games of thrones
- Prison break
- 24
Unaanzaje kwa mfano kutazama series za Waafrika...!!!South Africa. Ina bore sana... Waigizaji ni kama wamekariri maneno... Haina tofauti na Bongo Movies.
1. Person of InterestDuniania kuna series tatu tu hayo mengine mwajisumbua...
- Games of thrones
- Prison break
- 24
Missing ni kali kuliko homeland, ungekua karibu ningekupatia the homelandMtaalam nifanyie maarifa ya season 2 Condor, Missing na The homeland.
Missing ni kali kuliko homeland, ungekua karibu ningekupatia the homeland
Nilivyosoma hiyo list yake akil ikarud faster mpaka kwenye breaking bad.Nikaishia kumsikitikia tu. Bonge ya kitu breaking badHujawahi angalia series ndo maana. Huifahamu hata Breaking Bad? Huhifahamu The Carnival, Rome etc. Hizo ulizotaja ni Series za walioiga iga kuangalia series. Kwa sisi wakongwe tuna series nyingi sana bora zaidi ya hizo. Hata OZ. huhifaham... Acha wanaojua Series wakuambie.
Hizi ndio series bora kwangu za muda wote hasa hiyo iliyopo namba mojaUngeandika tu kuwa hizo ulizotaja ndizo ulizo na mahaba nazo...
Sitaki kuamini kuwa hujatazama tamthiliya nyingi zaidi ya hizi...
Nilivyosoma hiyo list yake akil ikarud faster mpaka kwenye breaking bad.Nikaishia kumsikitikia tu. Bonge ya kitu breaking bad
Mzee hadi Rome umeweka kaa series kali au ulipenda Nudity..ni kweli moja kati ya series bora Breaking Bad ipo na nimeitazama nimeielewa. Lakini bado hizo nilizoorodhesha zitabaki kua bora hafu ndio ifate Breaking bad..Hujawahi angalia series ndo maana. Huifahamu hata Breaking Bad? Huhifahamu The Carnival, Rome etc. Hizo ulizotaja ni Series za walioiga iga kuangalia series. Kwa sisi wakongwe tuna series nyingi sana bora zaidi ya hizo. Hata OZ. huhifaham... Acha wanaojua Series wakuambie.
Daah mkuu Power mwaipendea nini? Naona series zanye nuditu mnaziaifia sana. Hiyo lost ndio hovyo kabisa.. Umeona hii ya kikorea inaitwa 3day1. Person of Interest
2. Breaking Bad
3. Lost
4. Grim
5. The Strain
6. Gangs of London
7. Queen of the South
8. The walking dead
9. Power
Series zipo nyingi sana, na zote kali.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hapo tuna fall under something called "self priority"Daah mkuu Power mwaipendea nini? Naona series zanye nuditu mnaziaifia sana. Hiyo lost ndio hovyo kabisa.. Umeona hii ya kikorea inaitwa 3day
Pamoja..Mzee hadi Rome umeweka kaa series kali au ulipenda Nudity..ni kweli moja kati ya series bora Breaking Bad ipo na nimeitazama nimeielewa. Lakini bado hizo nilizoorodhesha zitabaki kua bora hafu ndio ifate Breaking bad..
Series bora niile ukiangalia unapata tamaa ya kuona episode inayofuata