Queen of the Best Melody’s

Umba Tuku

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2017
Posts
2,101
Reaction score
1,271
Wananzengo habarini mlioko vijiweni tulioko makazini na walioko wanakojuwa wao naamin sote tuwazima

Queen of the Best Melody’s huyu mtu kama namuelewa flan hatar anakaz tam tam hatar

moja ya kaz zake

Hatar sanaaa

Mashauz popote ulipo keep it up
 
Kabla ya ' Kumuanika ' hapa ulishaomba ' Kibali ' kwa mwenye mali ' Mchezaji ' Mrisho Khalfan Ngassa?
 
Kabla ya ' Kumuanika ' hapa ulishaomba ' Kibali ' kwa mwenye mali ' Mchezaji ' Mrisho Khalfan Ngassa?

hahahahahahah jamaa hayo si yao ya ndani sisi / mimi namuelewa kwa kazi zake sio mapenz jamaa so sihitaji kibali
 
hahahahahahah jamaa hayo si yao ya ndani sisi / mimi namuelewa kwa kazi zake sio mapenz jamaa so sihitaji kibali

Nilikuwa ' nakutahadhirisha ' tu Mkuu kwani namjua ' Mrisho Khalfan Ngassa ' alivyo na ' Wivu ' wake wa ' Kisukuma '.
 
Mwanaume kushabikia taarab....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Binafsi inanitia mashakani sana....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Samahani kwa kutoka nje ya mada
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
taarab ni muziki wa pwani na visiwani..hayo mengine ni yako
 
Nilikuwa ' nakutahadhirisha ' tu Mkuu kwani namjua ' Mrisho Khalfan Ngassa ' alivyo na ' Wivu ' wake wa ' Kisukuma '.

hahahahahahahah ondoa hofu jamaa wala sina mbanga za kumuelewa kimapenzi jamaa waendeleze libeneke lao tu mimi nimependa wimbo
 
Mwanaume kushabikia taarab....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Binafsi inanitia mashakani sana....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Samahani kwa kutoka nje ya mada
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mwanaume si jambo la kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…