Thailand JF-Expert Member Joined Nov 15, 2019 Posts 275 Reaction score 796 Oct 27, 2022 #1 Quattara alianza vizuri akiwa anamuweka benchi Onyango, ila now mambo ime turn jamaa hajulikani alipatwa na nini haanzi kwenye kikosi cha kwanza
Quattara alianza vizuri akiwa anamuweka benchi Onyango, ila now mambo ime turn jamaa hajulikani alipatwa na nini haanzi kwenye kikosi cha kwanza
mkale JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 1,737 Reaction score 1,987 Oct 27, 2022 #2 itakuwa benchi la ufundi karbu lote hawamuelew..
Msigazi Mkulu JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 4,186 Reaction score 3,418 Oct 27, 2022 #3 Huyu kocha naona anapendelea wachezaji wabongo watamuangusha muda si mrefu
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,623 Reaction score 39,995 Oct 27, 2022 #4 Thailand said: Quattara alianza vizuri akiwa anamuweka benchi Onyango, ila now mambo ime turn jamaa hajulikani alipatwa na nini haanzi kwenye kikosi cha kwanza Click to expand... Lilikuwa kosa kubwa Sana kumwamini Ouatara na kumwacha Onyango. Maki alileta watu wake kuvuna Simba kama Mkongo wa Yanga alivyowaleta kina Ndama Mutoto ya Ng'ombe.
Thailand said: Quattara alianza vizuri akiwa anamuweka benchi Onyango, ila now mambo ime turn jamaa hajulikani alipatwa na nini haanzi kwenye kikosi cha kwanza Click to expand... Lilikuwa kosa kubwa Sana kumwamini Ouatara na kumwacha Onyango. Maki alileta watu wake kuvuna Simba kama Mkongo wa Yanga alivyowaleta kina Ndama Mutoto ya Ng'ombe.
Action and Reaction JF-Expert Member Joined Oct 16, 2021 Posts 1,539 Reaction score 1,582 Oct 27, 2022 #5 Thailand said: Quattara alianza vizuri akiwa anamuweka benchi Onyango, ila now mambo ime turn jamaa hajulikani alipatwa na nini haanzi kwenye kikosi cha kwanza Click to expand... Hakya nani leo Simba tutamkumbuka huyu buana
Thailand said: Quattara alianza vizuri akiwa anamuweka benchi Onyango, ila now mambo ime turn jamaa hajulikani alipatwa na nini haanzi kwenye kikosi cha kwanza Click to expand... Hakya nani leo Simba tutamkumbuka huyu buana
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 9,770 Reaction score 20,464 Oct 27, 2022 #6 Oattara Ilikuwa ni usajili wa makosa makubwa kama. Banda. Dejan. Kanute. Sackho. Okwa NK IRP HANSPOPE.
Oattara Ilikuwa ni usajili wa makosa makubwa kama. Banda. Dejan. Kanute. Sackho. Okwa NK IRP HANSPOPE.
A Afisa Tabibu JF-Expert Member Joined Oct 29, 2021 Posts 519 Reaction score 873 Oct 27, 2022 #7 CAPO DELGADO said: Oattara Ilikuwa ni usajili wa makosa makubwa kama. Banda. Dejan. Kanute. Sackho. Okwa NK IRP HANSPOPE. Click to expand... Kanoute?? Banda?? Sakho?? Kivip yaan
CAPO DELGADO said: Oattara Ilikuwa ni usajili wa makosa makubwa kama. Banda. Dejan. Kanute. Sackho. Okwa NK IRP HANSPOPE. Click to expand... Kanoute?? Banda?? Sakho?? Kivip yaan
Nyoka mwenye makengeza JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 870 Reaction score 779 Oct 27, 2022 #8 Man u tunamtaka
V Vikintu JF-Expert Member Joined May 26, 2021 Posts 2,127 Reaction score 3,285 Oct 27, 2022 #9 CAPO DELGADO said: Oattara Ilikuwa ni usajili wa makosa makubwa kama. Banda. Dejan. Kanute. Sackho. Okwa NK IRP HANSPOPE. Click to expand... Wewe naye, unataka wachezaji kutoka safari ya Mars?
CAPO DELGADO said: Oattara Ilikuwa ni usajili wa makosa makubwa kama. Banda. Dejan. Kanute. Sackho. Okwa NK IRP HANSPOPE. Click to expand... Wewe naye, unataka wachezaji kutoka safari ya Mars?