Quality Abayas kwa bei chee

Hio kweli niliyakuta mpaka 300,000 kwa moja yanatoka muscat,Oman na Dubai nikamwambia million sitowi
Quality zake hua nzuri sana hata Mimi abaya Kwa paki tano tatu sjafikiria Kwa keeping million n Bora ukanipa hiyo hela sio kununua abaya Kwa milion
 
Nilekeze duka nimtume mtu huko aje akuungishe
Tupo K/Koo mtaa wa Narung'ombe na Sikukuu.
Kwenye jengo ya Quality Center mkabala na bank ya CRDB ghorofa ya 7.
Piga namba yetu ya simu niliyoiweka katika tangazo kwa maelekezo zaidi.
Karibu sana.
 
Hapo ukiyavaa hayo madubwana lazima kikwapa kiteme tu!

No wonder😀😀😀😀😀.

Sio kwelii tena wanaonuka ni walee wa sketi fupii na blauzii mabega wazii

Hao wa mavazi hayo unayo yachukiaa Nyani gabu wanajuaa maana ya uanamke
 
Alievaa blue na nyeusi nitamkuta hapo dukani?
nimnunulie lingine?
 
New arrivals
Bei ileile [emoji108]
 
Yupo kajaa tele mkuu.
Tena ndiye atakayekuhudumia...[emoji12][emoji12][emoji12]
Karibu.

Anaitwa nani?
nataka nikifika tu niulize jina lake ndo nianze kununua...
 
hahaaaa ahsante charty walah kuna jina la shemeji hapo mmmh hebu njoo ununue Abaya la Mamsap
 
Nimewaita kaka zangu wawanunulie mawifi zangu jamani!
Khaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na bebe pia aninunulie (japo sijammention)

Usijari bebe rangu, ombi rako rimefika kwenye kiti changu cha kunesanesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…