Quality Abayas kwa bei chee

Manake ingekuwa msimu wa eid i believe bei ingekuwa two times ya hii unayoipigia debe hapa,anyway tutakuungisha.
Watanzania jamani!Loooooh!
Bei ingekuwa kali ungelalamika...rahisi unaponda!
Nimekumbuka maneno ya boss wangu fulani kuwa "Usiogope kuuza bidhaa kwa bei ghali,kuna watu hawapendi bidhaa cheap...hata kama ni nzuri kiasi gani.
Kuna watu wao kununua bidhaa za bei ghali kwao ni ufahari"
Hakika aliona mbali sana. [emoji119]
 
Ntakutafuta Nifah kwa wake zangu inshaAllah
 
Mashallah! bidhaa safi hii. Tutakuungisha in shaa Allah@ Nifah
 
Acha hizo weweeee,mbona sisi ma-model tunakimbiza ndani ya hayo mabaibui?
Ukinikuta ndani ya Abayah utaulizia huyu dada kadondoka kutoka Dubai/Oman nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha model ila usiwe pasi sana na kifua kiwe standard maana kama pasi alaf kifua kimejaa utazani unaangukia mbele..noma
 
Haha model ila usiwe pasi sana na kifua kiwe standard maana kama pasi alaf kifua kimejaa utazani unaangukia mbele..noma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kifua kikijaa sio model tena [emoji12]
 
Hapo ukiyavaa hayo madubwana lazima kikwapa kiteme tu!

No wonder😀😀😀😀😀.

LABDA hajatoka Tanga huyo,wao wananukia hata avae hilo,kama wewe nyani unaweza kujifungia ndani na usitoke
 
Aliongea maneno hayo nadhani mwaka ja mwezi wa nne,hembu sasa hivi mkumbushie usemi wake kama hajasema ulim quote wrongly
 
Nifah swithat asante abaya nzuri sana nimezipenda Na nilivonayo mengi sjui Kwa nn hayaish ham
Hayaishi hamuuuu!
Mwenyewe nimepiga blahblah hapa japo shemeji yako aniwekee oda ya limoja...[emoji12][emoji12]
Nikivaa mavazi ya aina hii nakuwa na amani sana.
Na najiamini mnooo,tofauti na mavazi mengine naona aibu.
 
Aliongea maneno hayo nadhani mwaka ja mwezi wa nne,hembu sasa hivi mkumbushie usemi wake kama hajasema ulim quote wrongly
Hapana...alikuwa sahihi kabisa kwa ulichokisema mwanzo.
 
Hayaishi hamuuuu!
Mwenyewe nimepiga blahblah hapa japo shemeji yako aniwekee oda ya limoja...[emoji12][emoji12]
Nikivaa mavazi ya aina hii nakuwa na amani sana.
Na najiamini mnooo,tofauti na mavazi mengine naona aibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baibui n stara nzuri mavazi yoyote ya kiheshima ukivaa lazima ujiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…