Quality Abayas kwa bei chee

Bei rahisi sana hayo juzi ilinitoka laki 2.5 kwa Abaya 3 tu. Nilimnunulia babe[emoji6]
 
napita tuu ila nimeona biashara. hongera
 
Bei rahisi sana hayo juzi ilinitoka laki 2.5 kwa Abaya 3 tu. Nilimnunulia babe[emoji6]
Wooooow hongera zake. [emoji122][emoji122]
Ila ma abayah hayaishi hamu...kama mimi ninayo kibao na bado hapa nayatamani.
Sio mbaya ukimuongeza matatu tena [emoji12].
Yeah...bei rahisi sana.
Hii ni bei ya kiwandani/jumla.
 
[emoji3] [emoji3] Nikimwambia atayataka kweli lakini kunitoka laki 100,000 sasahivi mmhh ngoja nifikirie kwanza.[emoji6]
 
Nimemuona "mrembo" wa Trump kivazi chake kiko poa zaidi ya haya madude nadhani yanatoka KANO kwa boko haramu.
 
Uwezo wa kutafakari unapishana sana, ila kama huo ndo uwezo wako wa mwisho hatuna cha kukupa ila pole.
 
Ilikuwa mzigo wa eid, ukachelewa kutoka nn.
 
Nichagulie moja nzuri kuliko yote I mean highest quality cloth nimzawadie mke wangu
 
[emoji3] [emoji3] Nikimwambia atayataka kweli lakini kunitoka laki 100,000 sasahivi mmhh ngoja nifikirie kwanza.[emoji6]
Akipendacho binti....[emoji4][emoji4][emoji108]
Jifikirie mkuu.
 
Ilikuwa mzigo wa eid, ukachelewa kutoka nn.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi nimepaliwa kwa kicheko.
Hapana mkuu,mzigo mpya huo umefunguliwa leo.
 
Manake ingekuwa msimu wa eid i believe bei ingekuwa two times ya hii unayoipigia debe hapa,anyway tutakuungisha.
 
Nichagulie moja nzuri kuliko yote I mean highest quality cloth nimzawadie mke wangu
Sawa mkuu...thou yote ni highest quality.
Urefu wake ni cm ngapi?
 
Ukute dem kavaa baibui alaf anatako la Mwendokasii mashalaah..m napenda yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…