Habari zenu wadau naulizia sehemu ninayoweza kusoma masomo ya qt kwa mkoa wa Arusha au sehemu nitakayopata tuition nzuri ya masomo yote ya arts na sayansi.
zipo sehem nyingi sana, hasa maeneo ya ngarenaro shule ya tetra, kalolen opposite na kituo cha polisi kaloleni, shule ya msingi kaloleni, shule ya msingi levolosi na shule ya secondary ya arusha day kote huko unaweza kusoma