mkuu najua uli fail kiswahili. nime maanisha ni biashara kama biashara nyingine ila inahitaji nguvu kubwa sana na hupati faida kwa kukaa nyummbani lazima utoe uongoo na ukweli kwa mtu ili wewe ulie jiunga uweze pata commission. bila hivyo ni bila bilaHili wazo lako nadhani uwape ndugu zako, kuanzia wazazi mpaka mke, dada, kaka, nk. Ili mpate hizo faida unazoahidi.
Hao jamaa hata mimi walishanifuta nkawaambia hizo saa simjiizie wenyeweSaa inauzwa Mil 5..?
Na hiyo Qnet inahusika na nini hasa??
Dah! AiseeHahaaa hao jamaa waliacha nikatemana na demu wangu, demu kaingzwa mjini wakamla 1.8M akaanza kunishawish na mimi, kdg tu "sasa vip kuhusu kujiunga qnet?", nguva ya ushawish ikazidi akafanikiwa kunipeleka mbishi mimi kwenye semina ila nishapanga kichwan kama naenda tu kumridhsha, aisee nilishushiwa sumuuu, they left no space for question, nilihisi nimeelewa kila kitu nikaanza kujuta kwenda mana nilishaona nati za msimamo niliotoka nao home zmeshaanza kulegezwa moyo ukaanza kufunguka taratibu, wakaniuliza mara tatu "umeelewa kaka?" mzee mzima kwa upole wa mawazo km 2M nilizotafta kwa shda soon zitanitoka nikajibu NDIO, kwa bahat mbaya kwao nzuri kwangu, akaja jamaa mwingne mpya wakaanza kumpa semina wakaniweka pending kdg kwaio nikawa nimesogea mbali kdgo kuna shm nikakaa, pale ndo nikaona faida ya kulazmisha ubongo na moyo kufanya kazi katika halmashaur mbili tofauti, akili ilichelewa ku login haraka wakat natemewa sumu moyo nao ukawahi kupenda, sasa ndani ya ile dk moja tu akili ikarud fasta, nikaanza kujiuliza hv kweli nimeelewa sumu ndefu vile hata swali nikose? Fasta yakaanza kuja maswali kama mvua, sikutaka hata kwenda kuuliza nikatoka kimya kimya nikapanda daladala nika block namba zote na za yule ex wangu, kuanzia pale ukawa mwisho wetu. Mpaka leo siamin moyo wangu kbsa.
Mkuu pale Mwanza walinikosa kosa mbaya....tawi lao la kule kona ya Bwiru...Daah hawa watu almanusura wanisafisheBora wew 5M kuna mama kapigwa 15M hapa mwanza, alidanganywa akawaunga wanae wawili, kuna jamaa mwingine kaingizwa mkenge akakopa leo hii anauza nyumba yake
Mkuu hawa watu hawafai, wameharibu kanisa la watu bure, yule jamaa aliekuwa na wadhifa fulani kanisani baada ya kuuza nyumba na mikopo juu ili akatajirike huwezi amini siku hizi jua lake kutwa nzima anafuta watejaMkuu pale Mwanza walinikosa kosa mbaya....tawi lao la kule kona ya Bwiru...Daah hawa watu almanusura wanisafishe
Hahaha, DAH ni kwanini serekali inaruhusu haya mambokuna mtu namsubiria kwenye kona, nishamwambia sijui hao alliance global ni uhuni haelewi. juzi naona kajaza vifurushi vya hao jamaa chumbani kwake
anajidai mtafutaji kunizidi juzi anahangaika hana hata mia nami nimeweka vikwazo vya kiuchumi ale matunda ya alliance
Mkuu,kuwa na huruma basi hata kidogo,unataka iwe kumi kabisa?Mkuu, nina 1.5M nisaidie wanirejeshee pesa zangu. Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona Mkuu, yaani hata huko mahakamani watakushangaa.. Ununue saa kwa M8 kisha baada ya mwaka upate bilioni..? hata ingekuwa milioni 10 bado ulitakiwa ujiongeze mwenyewe..
Nakubaliana na msemo wa wahenga, kwamba akili ni nywele, kila mtu ana zake..
Mkuu hyo avatar ulikuwa unafanyeje au doggy style
Sent using Jamii Forum App