Qatar quits OPEC

Ndugu yangu dudus, kuwa mstaarabu basi, waarabu/waislamu wamekukosea nini!
Kiongozi; nimejaribu tu kukumbusha yanayoendelea huko katika dunia ya kiarabu. Tahadhari tu kwamba kwa mwendo huu wa baadhi ya wanachama, in this case Qatar, kuanza kujitoa, itaathiri huo umoja. Tunajaribu kukana historia iliyo wazi hata kama ni chungu ni lazima tuikubali tu maana historia ikiandikwa imeandikwa haifutiki.

Si kweli kwamba waarabu wanavurugana wenyewe kwa wenyewe? Hayo maelezo sijui utetezi wa Waziri wa Qatar ku-justify nchi yake kujiondoa yameeleweka lakini? Hajazungumzia mambo ya ukabila (tribes), ugaidi, n.k.? Wakizungumza wao sawa ila wengine humu tuki-comment kitu hicho hicho watu wanalipuka utafikiri nini sijui! Matusi hayafuti historia na wala hayaondoi ukweli wa jambo Mkuu.
 
Dudus kasepa anachek uzi kupitia tundu la dirisha
 
Ndugu yangu dudus, kuwa mstaarabu basi, waarabu/waislamu wamekukosea nini!
Kama bagamoyo huwa mnaenda kutalii mkiziacha nyumbani akili zenu nitashawishika kuamini kuwa hamyajui makosa ya mwarabu.

Napenda mjadala uurejee mkondo wake.
 
Mwambie ndugu yako dudus ndiye ameingiza maswala ya dini kukashifu uislamu na waarabu. Mshauri aache chuki
Hivi huyo allah wenu ni kiziwi au kipofu,maana waarabu/ waislamu ndo watu wanaochinjwa na kuonewa Kila siku,huyo allah wenu mbona hawasaidii,allah gani huyo anazidiwa na serikali ya Marekani,achana na allah wewe maana hakusaidii badala yake nyie waumini wake ndiyo mnajilipua mabomu kumpigania allah,huyo allah wenu dhaifu sana
 
Bangi hizi
 
Bangi hizi
 
Bangi hizi
 
TUNAKUJUA UNANJAMA YA KUTANGAZA USHOGA ILA HUMPATI MTU HUMU
Usitoke nje ya mada,jibu swali huyo allah wenu mbona hawasaidii,zaidi ya waarabu laki mbili wamechinjwa uarabuni,ina maana huyo allah wenu hayaoni hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…