Qatar quits OPEC

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,622
Reaction score
37,516
December 3, 2018
Vienna, Austria

The future of OPEC is on shaky ground, an analyst told CNBC on Monday, after Qatar abruptly announced it would sever ties with the influential oil cartel after almost six decades.

Qatar's Energy Minister Saad al-Kaabi said at a news conference Monday that Doha would leave OPEC on January 1, 2019. The decision comes just days before OPEC and its allies are scheduled to hold a much-anticipated meeting in Vienna, Austria.

"This is big," Andy Critchlow, head of EMEA energy content at S&P Global Platts, told CNBC's "Squawk Box Europe."

"In the 20 years that I've been covering OPEC, I can't think of anything that is bigger than this (and) that is a more systemic risk to the future of OPEC."

Qatar's energy minister said the country would leave OPEC and focus on gas production. He denied the move was linked to an 18-month political and economic boycott of the country.

Since June 2017, OPEC kingpin Saudi Arabia — along with three other Arab states — has cut trade and transport ties with Qatar, accusing the country of supporting terrorism and its regional rival Iran. Qatar denies the claims, saying the boycott hampers its national sovereignty.

The Middle East-dominated group's final meeting of the calendar year is now expected to be Qatar's last. It has been an official OPEC member since 1961.
Source : www.CNBC.com
 
December 3 , 2018
Doha, Qatar
Qatar yajivua uanachama wake OPEC
Waziri wa Nishati wa Qatar Bw. Saad Sherida al-Kaabi ametoa taarifa ya nchi hiyo mwanachama wa OPEC kujitoa uanachama wa nchi wazalishaji wakubwa wa mafuta (OPEC), ifikapo January 1, 2019.

Waziri huyo wa Nishati amesema nchi hiyo itajikita zaidi ktk masuala ya gesi, sekta iliyo muhimu na Qatar ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa gesi ghafi (NG) na iliyochakatwa (LNG) duniani. Qatar ni mzalishaji mdogo wa mafuta kulinganisha na wanachama wengine ndani ya OPEC.

Taarifa hiyo imesababisha mtikisiko ktk OPEC na nguli wa habari za Nishati ya petroleum wamesema hiyo ni habari kubwa ktk soko la mafuta ulimwenguni.

Qatar imekuwa na uhusiano usio imara na majirani zake kama Saudi Arabia kutokana na nchi hiyo ya Qatar kushutumiwa kuingilia mambo ya ndani ya majirani zake wa eneo la Mashariki ya Kati na Ghuba
Source: www.CNBC.com
Source : TRT world
 
Imekaaje. Wameamua kumtangulia kingpin Saud'Arabia.
M Saud sio ndo alianza kuongelea hizi habari za kujitoa..
 
Naona OPEC inafuata njia ya OIC! Mwarabu hajawahi kuwa na umoja wa maana hata dini yenyewe inawavuruga wenyewe kwa wenyewe sembuse viumoja uchwara. Halafu watasingizia makafir!
Hehehehe comments zako huwa za Mr bin, DINI IMEINGIAJE APO MKUU, comedian, Watu wanafungishwa ndoa za jinsia 1 ndani ya nyumba za ibada mbona hatuongei tehteh
 
Naona OPEC inafuata njia ya OIC! Mwarabu hajawahi kuwa na umoja wa maana hata dini yenyewe inawavuruga wenyewe kwa wenyewe sembuse viumoja uchwara. Halafu watasingizia makafir!

Mleta uzi kaeleza kwa ufasaha kabisa tena bila bias ya dini yoyote ile, lakini wewe na stress zako unaanza kuchafua uzi wake kulikoni??

Qatar hajajitoa katika umoja wa nchi za kiarabu, wala hajajitoa katika umoja wa nchi za kiislam

Bali amejitoa katika umoja wa nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi duniani, sasa uarabu na uislam unaouongelea kwa jaziba kama zote apa unautoa wapi?

Kua na busara basi ata maramoja moja,
wewe muafrika wa Tanzania unaanzaje kuichafua dini ya mwarabu wakati hauna uhakika na ukristo wako ambao kimsingi uliletewa na mzungu wala sio asili yako???

Qatar ameeleza sababu za kujitoa ambazo ni za msingi kabisa na hakugusia uarabu wake wala uislam wake, sasa vipi wewe kushambulia tamaduni za watu.

Pengine hata umoja ule haukuanzishwa na nchi za kiarabu wala nchi za kiislam, inawezekana umoja ule ulianzishwa na nchi moja ya kikristo basi kwa maslahi yake akazitaka nchi zile zijiunge katika umoja ule.

Sasa iweje leo taifa limeamua kujitoa tena kwa sababu za msingi unaanza kushambulia uarabu wao na uislam wao.

Hatugombani hapa tunakumbushana tu mkuu tafadhari bwana tujikite kwenye maada.

Aksante..
 
Naona OPEC inafuata njia ya OIC! Mwarabu hajawahi kuwa na umoja wa maana hata dini yenyewe inawavuruga wenyewe kwa wenyewe sembuse viumoja uchwara. Halafu watasingizia makafir!

Ndugu yangu dudus, kuwa mstaarabu basi, waarabu/waislamu wamekukosea nini!
 
Uislam unamuumiza sana rohoni huyo jamaa angekuwa na uwezo angewauwa waislam wote duniani. Basi tu roho chafu inamwandama utakuta hajawahi tendewa ubaya wowote na muislam ila basi tu. Tumsamehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…