Qatar kipimo cha ujinga wa Waarabu

Qatar ni ngangari,hao wa Saudi ndo wanafinance IS,ila waarabu ni mazoba sana.Middle east imekuwa bwawa la damu.
 
Reactions: BAK
Aiseee!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Noumaaa kweli mshkaj wang
Yan ulivoelezea utafkir
Ndo picha lnaendelea sasahv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duh, hahaha.....
 
Hivi qatar ndo nini mkuu

Pia nan alikwambia makka kuna mungu waarabu hawana ulinz wa mungu na hawatakuja kuupata ulinz huo

Wenyewe ulinz wao unatoka kwa allah mungu jua
 
Hivi qatar ndo nini mkuu

Pia nan alikwambia makka kuna mungu waarabu hawana ulinz wa mungu na hawatakuja kuupata ulinz huo

Wenyewe ulinz wao unatoka kwa allah mungu jua
Ngoja waje wakujibu
 
Uko vizuri.Tatizo ni nini hadi Qatar awekewe hilo Zengwe?Kwa ufupi sana.

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
 
Uko vizuri.Tatizo ni nini hadi Qatar awekewe hilo Zengwe?Kwa ufupi sana.

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app

Ni kwa sababu ya Husuda tu. Wanakaonea wivu!!!.

Qatar ni nchi ndogo lakini tajiri kweli, Kana shirika la ndege ambalo ni zuri na linapiga hela ndefu, Kana Shirika la Utangazaji la Aljazeera ambalo linafanya kazi vizuri na kuexpose mambo mengi ya ajabuajabu katika nchi za kiarabu, Kana uhusiano mzuri na Irani. Kwa hiyo ni kama kanachallenge Dominance ya mataifa makubwa ya kiarabu yakiwemo Misri na Saudia
 
Hao saudia na wengine wanaomuwekea vikwazo Qatar ni wivu tu unawasumbua.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
In short hii mission ipo well planned na wamarekani na washirika wake. Msaudia ataingia kichwa kichwa kwa kupewa ahadi za kima prosoo

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…