Utaludi au ndio moja kwa moja?Napita
Viva Qatar
Na ndo maana tuna semaWanaume hawa wamesimama kidete kuwagomea hao maharamia, na vikawzo vyao vya kiuchumi vimeshindwa kuleta negative impact ambayo waliitegemea. Qatar wameibuka kidedea dhidi ya nchi nne za maharamia.
Aiseee!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa kuwa Qatar kuna bahari inayoilink na Iran, basi vikwazo hapo haviwezi kuwaathiri sana.
Ila ishu itakuja pale watakapojaribu kuiwekea blockade kwa kupeleka meli za kijeshi kuzuia bidhaa zisiingie Qatar.
The other Alternative ni kufanya regime change kwa kuwapeleja ISIS wauondoe utawala wa mfalme wa Qatar, ila hiyo ni approach dhaifu maana Iran hatokubali ISIS awe jirani yake lazima iran ataingilia hapo!
Hii itailazimisha Saudia iombe msaada wa kijeshi kwa Israel , Kwa mara ya kwanza Israel atukuwa ally na waarabu ktk vita dhidi ya Irani!
Uturuki atajaribu kuwa mediator, Hizbollah atalianzisha huku upande wa Magharibi na Urusi ataactivate mitambo ya Kulilinda anga la Syria kwa ukamilifu wake!. Waasi wa Hauthi kule Yemeni watapewa order na Irani wasonge kuingia katika ardhi ya Saudia, Iraq itakuwa neutral mwanzoni lakini vita ikishaanza kuvaa sura za Usuni na Ushia wataingia kisirisiri wakiwasapoti wanamgambo watakaokuwa wanaungwa mkono na Iran!!. Kwa muda wote huu Marekani ns Urusi watakuwa wanaita pande zote zisitishe mapigano!, diplomasia ya hali ya juu Baraza la Usalama la UN zitakuwa zikiendelea!. Wakati haya yanaendelea, Kim kule North Kirea ataendelea kujaribu silaha zake na kuziboresha maana dunia nzima macho yatakuwa hapo middle east!
Hii kitu siyo nzuri wadau ni hatari
Kwa kuwa Qatar kuna bahari inayoilink na Iran, basi vikwazo hapo haviwezi kuwaathiri sana.

lu=ruUtaludi au ndio moja kwa moja?
Duh! Mbingu na ardhi zitapita kuliko hilo kutimia. Sijui lakini.... Hii itailazimisha Saudia iombe msaada wa kijeshi kwa Israel , Kwa mara ya kwanza Israel atukuwa ally na waarabu ktk vita dhidi ya Irani! ...
Duh! Mbingu na ardhi zitapita kuliko hilo kutimia. Sijui lakini.
Hiyo habari niliiona humu humu JF bila kuwa na credible source hivyo kuichukulia kama mbinu za Waajemi kujaribu kuichafua Saudia machoni pa mataifa ya kiarabu na kiislamu. Hizi siasa zina mbinu chafu nyingi sana.Mkuu hujasikia Israel majuzi ikitangaza kuwa uhusiano wake na Saidia umeboreka Maradufu?
Haihitaji waajemi kuonedha ukweli, hakuna siri kuwa USA, ISRAEL na Saudia ni Allies wazuri tu. Wanajifanya wanafik kuzuia mtu mwenye passport ya israel kuingia Saudi hali ya kuwa waisrarl wanaibgia kwa passport za UK na USA na wanalijua hilo. Nasubiri utawala wa Al saudi uporomoshwe wakae wengine. Saudi, Qatar na Turkey ndio wanawasaidia waasi walioko Syria ISIS na wenzao kisha leo wanamgeuka Qatar tu.Hiyo habari niliiona humu humu JF bila kuwa na credible source hivyo kuichukulia kama mbinu za Waajemi kujaribu kuichafua Saudia machoni pa mataifa ya kiarabu na kiislamu. Hizi siasa zina mbinu chafu nyingi sana.
Hata saudi meka kwenyewe unapaita pa maharamia?Wanaume hawa wamesimama kidete kuwagomea hao maharamia, na vikwazo vyao vya kiuchumi vimeshindwa kuleta negative impact ambayo waliitegemea. Qatar wameibuka kidedea dhidi ya nchi nne za maharamia.
Hata saudi meka kwenyewe unapaita pa maharamia?