Uwanja ndani ya fridge!!!chezea petro dollar weye
You have said it! Lakini pia nyakati pia hubadilika na thamani ya vitu hubadilika. Kuna wakati huko New York chumvi ilikuwa na thamani kuliko dhahabu labda huko mbele mavumbi yatakuwa na thamani kuliko mafuta......lolKuna vizazi ambavyo vitakuja kujutia matendo ya babu zao kufuja hela! haya mafuta kuna siku yataisha, sidhani kama fuel making/producing process ni indefinite!
Wenzenu wamekuwa wakijiandaa kwa hilo since the 70s. Miji Kama Dubai ina invest heavily kwenye swala la luxury tourism, Qatar foundation unaijua? Embu google. Sio kila nchi inaongozwa na ccm. Walikuwa hilo swala toka miaka ya 70!Kuna vizazi ambavyo vitakuja kujutia matendo ya babu zao kufuja hela! haya mafuta kuna siku yataisha, sidhani kama fuel making/producing process ni indefinite!
Wenzenu wamekuwa wakijiandaa kwa hilo since the 70s. Miji Kama Dubai ina invest heavily kwenye swala la luxury tourism, Qatar foundation unaijua? Embu google. Sio kila nchi inaongozwa na ccm. Walikuwa hilo swala toka miaka ya 70!
Wenzenu wamekuwa wakijiandaa kwa hilo since the 70s. Miji Kama Dubai ina invest heavily kwenye swala la luxury tourism, Qatar foundation unaijua? Embu google. Sio kila nchi inaongozwa na ccm. Walikuwa hilo swala toka miaka ya 70!
With advancement of science and the esclating prices of fuel, I believe the Western world (perhaps and other parts of the world) will make a substitute in the engine combustion systems one day!You have said it! Lakini pia nyakati pia hubadilika na thamani ya vitu hubadilika. Kuna wakati huko New York chumvi ilikuwa na thamani kuliko dhahabu labda huko mbele mavumbi yatakuwa na thamani kuliko mafuta......lol