Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

Ukiona hivo ujue hakuna mahusiano mazuri kati yako na mke wako.....kuwa makini na ndoa yako ..
 
 
Poleni sana, ila ni kama wamejitakia kwa tamaa yao ya fedha za haraharaka. Kumbuka kuwa Mungu alisema tutakula kwa jasho
 
Hujakosea mkuu, hizi fursa za kuitwa itwa hizi hatari sana. Pole sana lugeye..
Sehemu za pesa huwa watu hawaitani KAMWE! Wanapiga kimya kimya,ni kama mchimbaji wa madini akikutana na jiwe la thamani, mtaona anabadilika kimya kimya, hamwambii mtu kuwa kapata jiwe la thamani. QNET iko tofauti na pyramid shcmes zingine?
 
Rudi Lugeye tumsaidie Kiswaga kuendeleza jimbo mzee. Halafu samaki wamepungua
 
Ivi unaanzaje kununua saa m.8 uje upewe bl.3 huu ni ujinga tatizo wengi tunapenda mteremko na miujiza.
 
Kigwangala alisema hii biashara ya Q-NET ni halali na watanzania wengi wajitokeze kutumia fursa hii
 
Matapeli, hawawez mtapeli mpenda kula jasho lake.

anayependa kula jasho la mwingine (rahisirahisi) ndo hutapeliwa. So mm huwa sisikitiki nikisikia mtu ametapeliwa
 
Yaani TZS 8 million upate TZS 3.3 billion???????????????? Ni ndoto za alnacha hizo
 
Hakuna kesi hapo si mmeuziwa SAA pia huwezi kuwaloga uchawi ungekuwa huna nguvu waafrica tusingetawalia.Tafuta tu pesa zingine utapata Fanya kama ulitoa sadaka.
 
Watanzania acheni tamaa uliona wapi una invest 8 million after one year unaibuka na bilioni 3,2 ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…