Kwa wale wataalaam wa PYTHON PROGRAM tunawaombeni ushirikiano wenu hapa kwa ajili ya kujifunza na kupeana utaalamu.
Mie ndio kwanza najifunza ila haizuii kuweka THREAD ili wenye utaalamu watusaidie.

Kitabu kizuri ni Learn python the hardway.
hata automate the boring stuff ni kizuri kwasababu kina mazoezi mengi ya vitendo Automate the Boring Stuff with Python

Kwa beginners nashauri uanze na tutorial ndipo uje vitabu Best tutorial and simple ya python ni thenewboston by Bucky Robert, Mosh nae yupo vizuri sana
Django tutorial
coding for entrepreneur ni mwalimu mzuri kuna series za django link below CodingEntrepreneurs