m ndo najifunza data visualiatian with python hope tunaweza kushare some ideas[0717500412]Kwa wale wataalaam wa PYTHON PROGRAM tunawaombeni ushirikiano wenu hapa kwa ajili ya kujifunza na kupeana utaalamu.
Mie ndio kwanza najifunza ila haizuii kuweka THREAD ili wenye utaalamu watusaidie.
HAPA NI PYTHON TU
Hii imekaa poa kabisa. Tutapata wataalamu ambao watakuwa wamejifunza mitaani namna hii. Hii ndio spiritKitabu kizuri ni Learn python the hardway.
hata automate the boring stuff ni kizuri kwasababu kina mazoezi mengi ya vitendo Automate the Boring Stuff with Python
😂 😂 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kila siku nasikia watu wa it wakizungumzia python, mbona sijawahi kusikia mkizungumzia king cobra au black mamba?