Ladha yake nyama tupu, nyororo tena mororo kabisa
Steki yake laini kama supu ya mapupu
Jicho lake kubwa tamu! Lakini jicho ndogo lina ladha adimu! Chukuchuku na pilipili manga! Mchuzi rojo, moto kama moto wa joto la sentigredi
Maringo ya pweza wangu hakyanani hayakifu! Ukimpapasa hapa pua yake husimana dede! Ulishawahi kumuona kifutu akitema sumu! Pua ya pweza wangu ni zaidi ya kifutu
Namlaza chini kwa upole pweza wangu kisha namkumbata kwa msonobari! Dede kama kangaruu! [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tupa kule kibwaya! Mwagia asali, nyunyiza yasmini.... Uturi.. Kisha laza kwa utulivu ndani ya shubaka la makhabati...! [emoji182][emoji173]raha ya karaha! Ni msonobari kutangulia kileleni akimwacha pweza bondeni
Utamu wa pweza asichine! Asichachuke! Asivunde! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio lazima uelewe... [emoji125] [emoji125] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using
Jamii Forums mobile app