Pwc

Pwc

F-9

Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
24
Reaction score
1
Pwc-Tanzania Graduate recruitment program for 2013 is now open jus visit the website ndugu zanguni.
All the best!
 
Mmmh napita

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
MBONA HIYO LINK SIJAIONA YA KUFANYA ONLINE APPLICATION AU NDIO MAGUMASHI TAYARI :nono::nono:
 
online application za pwc ni magumashi tu
..peleka application pemba house masaki..
 
Dogo application zote wanafanya online fuata maelezo MBWIGA WE...just soma hapa uone :-http://www.pwc.com/tz/en/graduate-recruitment/recruitment-process.jhtml
 
PwC, jamaa wanahitaji watu sana. Muhimu ujiandae sana mipepa yao, pitia google ma-aptitude test ya kutosha. Kifupi huvuki bila pepa.

Check out IQ tests and aptitude tests on nets, do as much as you can, you get to know the flow of them.
 
umeapply pitia link ipi mbona kwenye site yao sioni sehemu ya ku-register
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom