PVC cards kwa vyama vya siasa

PVC cards kwa vyama vya siasa

Sam 2023

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,829
Reaction score
1,983
Habari wanajukwaa bila shaka mu wazima wa afya.

Leo nmekuja nabpemdekezo kwa vyama vya siasa kuachana na vitambulisho vya makaratasi na kuingia kwenye vitambulisho vya plastic (poly -vinyl chloride ID cards).

Pia ingependeza kama vitambulisho hivyo vikawa na teknolojia ya alama za vidole (biometrics) ili kama itawezekana viweze kutambuliwa na serikali hasa TCRA.

Napendekeza vyama vikubwa kama CCM, CHADEMA na ACT-Wazalendo vioneshe mfano wa kuleta hizi kadi.

Pia kadi hizi inaeza kua chanzo cha mapato kizuri tofauti na hivi vitambulisho vinavyoharibika vikiguswa na maji.

Natumaini nmeeleweka vizuri
 
Hilo litasaidiaje kurejesha demokurasia na utawala wa sheria.....kwasababu ndo changa'moto kubwa kuliko hilo la vitabulisho au tueleze zaidi mkuu
 
Itapunguzi undumila kuwili wa watu kuwa na kadi mbili mbili kimaslahi
 
Hilo litasaidiaje kurejesha demokurasia na utawala wa sheria.....kwasababu ndo changa'moto kubwa kuliko hilo la vitabulisho au tueleze zaidi mkuu
Kila kitu kina wakati wake mkuu, hapa nazungumzia kadi za plastic sizungumzii uchaguzi wala masuala ya uongozi ndani ya vyama.
Suala la demokrasia mjadala wake ni mpana na tofauti kidogo na huu
 
Kwani kadi ya plastika inazuia je mtu alie zoea kufanya umalaya wa siasa?
Kadi ya plastic pekee haizuii hicho ulichoita umalaya wa siasa.
Kadi ya plastic ambayo ni ya kielektronic inaweza kuzuia mtu kumiliki kadi za vyama viwili...endapo kutakua na strong database control
 
Back
Top Bottom