Pvc and aluminium windows

Immanuela

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
22
Reaction score
5
Tunauza na kufunga madirisha, milango na Balcony kwa PVC toka Uturuki na Aluminium. Bei zetu ni nafuu sana.
Bei zinajumlisha ufundi na usafiri hadi nyumbani (ndani ya Dar es salaam).
Mteja mwenye usafiri wake na fundi wake atapata punguzo zaidi ya asilimia 10%.
Kutembelea eneo la ujenzi na kupima ili kukadiria gharama zote ni bure.
Ofisi zipo mbezi beach darajani.
kwa maelezo zaidi piga simu namba 0654 610 138
 
Standard doors and kitchen cabinets also available at a cheap price..
 
Fremu na Mlanga wa chooni standard wa pvc unaweza kuwa bei gani?
 

Weka bei mkuu tunahitaji hii kitu
 
mlango wa chooni standard zipo aina 2. inategemea na aina unayohitaji..ina range from 380,000-600,000....ukiwa serious piga simu yangu nitakufata na samples zetu popote ulipo nikuonyeshe....bei zinapungua kutokana na idadi ya milango pia..maongezi yapo ukiwa tayari
 
Dirisha la mita 2kwa mita mbili ni sh ngapi

inategemea kama ni PVC au Aluminium, but bei zinarange from 100,000-350,000 kwa mita..hizo ghatama zote ni pamoja na usafiri na kufungiwa...ukinihitaji kwa maelezo zaidi naweza kukufata ulipo na kukuonyesha samples pamoja na ushauri na maelezo zaidi..karibu sana
 
ukipenda bidhaa zetu na huduma zetu ukatuletea wateja wengine....you get your comission too
 
Badhi ya kazi zetu za PVC na Aluminium...
 

Attachments

  • 1396289207508.jpg
    55.4 KB · Views: 310
  • 1396289242307.jpg
    4.4 KB · Views: 346
  • 1396289265310.jpg
    34.2 KB · Views: 268
  • 1396289342200.jpg
    45.8 KB · Views: 258

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…