Putin Works Out in a $3,220 Sweat Suit as Only Putin Would

Putin Works Out in a $3,220 Sweat Suit as Only Putin Would

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
39,992
Reaction score
51,098
Kumbe naye Putin Fisadi nama hiyo.

Taksuti tu dola 3200, milioni sita hizo.

Mkusanyiko wa saa zake zote jumla ni dola laki 700, bilioni moja hiyo.

Plus magari 700.

Hawa ndio watawala wetu, ngumu sana kuwaamini hawa watu.
==============
If nothing else, 2015 has been the year of the expensive athleisure , and no one is taking that more seriously than Vladimir Putin .

The Russian president arrived for an early Sunday morning sweat session in Sochi with his prime minister, Dmitry Medvedev, sporting a $3,220 Loro Piana track suit.

Putin had no problem practicing his calf raises and working that inner-thigh machine in the half-cashmere, half-silk drawstring jogging pant , which retails for $1,425 (Quartz first identified the outfit). He waited until after a set of side crunches and a bit of heavy chest breathing to throw on the matching $1,795 bomber-style zip-up hoodie .

Cashmere and silk are not known for being especially moisture-wicking or sweat-absorbing materials, but Putin didn't let a little sogginess sour a perfectly good post-workout brunch of grilled meat and tea. One can only hope the president followed the very particular care instructions for the garments later. Loro Piana's Web site advises washing the sweat suit by hand using neutral detergent (Loro Piana Cashmere Soap, specifically) or dry-cleaning it using perchloroethylene, inside out, of course.

A $3,220 gym outfit may seem excessive to most, but it's a choice that feels in keeping with Putin's taste for the gratuitous finer things. The man reportedly has a watch collection worth nearly $700,000 , from which he's known to unceremoniously give away a timepiece to a pal on a whim. One report found he owned a 700-car garage filled with black Mercedes, and a $76,000 toilet on a presidential jet.

In context, then, a sweaty set of Loro Piana cashmere seems reasonable. If they're an incentive to do those pull-downs before his next topless horseback-riding photo-op, then the flossy threads are indeed a sound investment.



Putin Works Out in a $3,220 Sweat Suit as Only Putin Would
 
Uchumi wao unawaruhusu! na utendaji wake wa kazi na wananchi wake hawapaswi kulalamika sababu wanapewa huduma nzuri
 
Halafu unashindwa kujua PUTIN ni mmoja kati ya wale Bora wenye UKWASi zaidi duniani ukimwacha Billgate na Yule mwingine Warren Buffet..!! Ye Yumo
 
Uchumi wao unawaruhusu! na utendaji wake wa kazi na wananchi wake hawapaswi kulalamika sababu wanapewa huduma nzuri

Siasa za huyu mzee, huwezi muhusisha na matumizi kama haya, mwanasiasa ni mwanasiasa tu
 
Halafu unashindwa kujua PUTIN ni mmoja kati ya wale Bora wenye UKWASi zaidi duniani ukimwacha Billgate na Yule mwingine Warren Buffet..!! Ye Yumo

Hiyo list sijawahi iona mkuu, lakini hao uliowataja ni wafanya biashara, yeye ni kiongozi wa nchi
 
Mm nawashangaa watu wakati mwingine...hivi Raisi wa Urusi unataka avae gunia au??!! Waulize hao MSN Obama wao anavaa nini?? Nchi kubwa kama Urusi unataka Mkuu wa nchi avae kitenge au??!!hawa majamaa Putin anayasumbua sana kila mara yanawaza ujinga kumzushia msiingie mkumbo tu...si walishasema kapinduliwa au mmesahau??!!
 
stroke

Mkuu Fisadi kaiba shingapi za RUSSIA?,...

Halafu ujue Putin ni alikuwa K.G.B na amefanya kazi F.S.B kwa muda,..
K.G.B mishahara yao ilikuwa Gross sasa F.S.B ndiyo usiseme,...

Mtu kawa Jasusi,Waziri Mkuu mara mbili,Raisi mara mbili ataacha kuwa na pesa?,...

Tupilia mbali biashara ya mafuta, Ualimu wa Chuo kikuu,...

Hawa majasusi wa nchi za wenzetu huwa wanakuwa na pesa saaana hasa ukifanya kazi kwenye Department ya foreign affairs.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom