Putin to the West: Russian bear won’t ask for permission

Ukalimani mwingine mmmhhh!

Take it easy, hii siyo lugha yetu. mbaya zaidi mi siyo linguist, ndo maana nimejaribu kutafsiri kadri nilivyoelewa na watu wengine wakanikosoa. Sasa wewe unaguna alafu hujatafsiri. Kuwa na amani mkuu. hii lugha si yetu wala mjerumani. ni ya mwingereza.
 
mimi mwenyewe mpaka nimecheka sana. cold=baridi.

mwingine kaamanisha sneezy=kukoroma.

Wakuu hebu na nyie wekeni tafasiri za kwenu kwa faida ya wengi. kutafasiri ni taaluma ndio maana hata kwa waswahili wengi kumfafanulia mtu baadhi ya maneno ya kiswahili ni shida. licha ya kwamba tumekua tunaongea kiswahili tangia watoto. English is not our mother language us Tanzanians.
 
Wakuu hebu na nyie wekeni tafasiri za kwenu kwa faida ya wengi. kutafasiri ni taaluma ndio maana hata kwa waswahili wengi kumfafanulia mtu baadhi ya maneno ya kiswahili ni shida. licha ya kwamba tumekua tunaongea kiswahili tangia watoto. English is not our mother language us Tanzanians.

even Swahili is not our mother language to many, my mother language is Sukuma.

katika maelezo yaliyowekwa.

cold ni mafua.

sneeze ni kupiga chafya.

sijatafisiri habari yote.
 
"IF A RUSSIAN BEAR SNEEZES, GERMANY CATCHES COLD"

Wakuu ni hivi Bear ni Yule mnyama mkali aitwae DUBU,Sneezes ni KUPIGA CHAFYA na cold ni BARIDI inayosababisha hadi MAFUA makali.

Kumbukeni tabia ya huyu mnyama DUBU saa zote amejiandaa kushambulia ni mkali na m'baya sana!!

Remember the bear cannot be told when to attack.

SASA pale Russian bear atakavyofanya demonstration yake ya kuzima gas supply to Europe hiki kipindi cha winter mtaona jinsi nchi Kama Germany itakavyoathirika siyo tu na mafua makali bali vile viwanda vinavyotengeneza magari vitaathirika si mchezo!!Majumbani tu kwa wagermany hakutakalika baridi ilivyokali kumbukeni inaendaga hadi negative labda watatumia mkaa na kuni.
Sidhani Kama Russian bear atakubali kuiona Ukraine kuendelea kuiba gas ya Europe since hiyo gas inapita thru Ukraine pipeline kwenda Ulaya.

Huyu mnyama Bear katajwa hadi kwenye Russian foreign Policy that means ana maana kubwa sana when it comes to Russia protecting itself from External foes/Enemy.
Muangalieni Rais Putin akiwa amepanda bear.

ImageUploadedByJamiiForums1414665352.433131.jpg ImageUploadedByJamiiForums1414665385.027500.jpg ImageUploadedByJamiiForums1414665416.296815.jpg
 
Wao ndiyo wanahusika na kutengeneza Boko haram mkuu,soma hapa!!

Sometimes now the CIA has been running secret training and indoctrination camps along the porous and vulnerable borderland of niger,chad and cameroon.At these camps youth from poor deprived background are recruited and trained to serve as insurgents.The agents who supply these youth lure them with the promise of better life and further indoctrination to beliave they are working to install a just islamic order from ungodly one that rule Nigeria.
The American CIA programme officer of this project remain in the background,leaving the day to day running of the camps to supervisor of middle eastern origin specifically recruited for this purpose.
Read on.
Boko Haram Is A CIA Covert Operation – Wikileaks | The Nigerian Oracle


Hakika hawa jamaa hawafai kabisa,wanautumia vibaya sana uislmu na inaonekana ni dini kigaidi kumbe si kweli hata kidogo,ndo maana mi huwa nasema kuwa mwislamu wa ukweli hawezi kuanzisha kikundi cha ugaidi never,ila mi namuomba Mungu atokee mtu(nchi)aipige Marekani ndani ya nchi na iporomoke kiuchumi moja kwa moja iwe kama ilivyoporomoka Ujerumani katika WWII kwani mpaka leo bado inaramba viatu vya Marekani na washirika wake. Na hapo Putin akipata nchi mbili au tatu za kumuunga mkono atampiga Marekani na washirika wake.
 
Back
Top Bottom