haya ni mawazo ya kiijinga ambayo waafrika na viongozi wetu tunayo. niliaangalia documentary moja inaitwa mugabe and the white african.
kuna litoto la waziri lilikuwa linataka shamba la mzungu likawa linasema "nyie watu wa magharibi mmeshindwa kutuendeleza sasa ni zamu ya watu wa mashariki" (wachina). kwanini msijjiendeleze wenyewe mamaezenu! muafrika bado hajiamini kuwwa anaweza kutengeneza magari, ndege, meli, simu, computer nk. mbaya zaidi muafrika hajui international finanance inavyokwenda. unafiikiri mrusi akifanya biashara na africa au na ufaransa wapi atapata zaidi?. na mbaya mbaya zaidi waafriiika don'tt feel pity fo theemselves. aargh, ngoja ninywe bia huku nikitafuta mbinu ya kuitoa familia yangu.
Russia hawana viwanda hata wao wanaexport rasilimali ni moja ya nchi yenye rasilimali nyingi,walijisahau kuweka uchumi wa viwanda kwani mafuta na gesi yakiwaingizia mapato makubwa wakapuuza kuendeleza viwanda.
haya ni mawazo ya kiijinga ambayo waafrika na viongozi wetu tunayo. niliaangalia documentary moja inaitwa mugabe and the white african.
kuna litoto la waziri lilikuwa linataka shamba la mzungu likawa linasema "nyie watu wa magharibi mmeshindwa kutuendeleza sasa ni zamu ya watu wa mashariki" (wachina). kwanini msijjiendeleze wenyewe mamaezenu! muafrika bado hajiamini kuwwa anaweza kutengeneza magari, ndege, meli, simu, computer nk. mbaya zaidi muafrika hajui international finanance inavyokwenda. unafiikiri mrusi akifanya biashara na africa au na ufaransa wapi atapata zaidi?. na mbaya mbaya zaidi waafriiika don'tt feel pity fo theemselves. aargh, ngoja ninywe bia huku nikitafuta mbinu ya kuitoa familia yangu.
Takwimu za utegemezi wa 85% umeutoa wapi wewe? Ingekuwa hivyo, Urusi angeweza kuwanyanyasa sana EU kivikwazo. Nishati yake hasa ya gesi, wanaotgemea kwa 30% hivi.
Why now?? Gas Oil
Lakini hajaongelea Tz peke yake..
Na kwa data zangu japo ni za muda, tuna makampuni ya Russia kwenye Uranium...am I wrong?
Mimi sipendi nchi yeyote ibinafsishe Tanzania...so I would go for competition rather than domination...
Sasa nikiona humu Great Thinker anasema ni umalaya kuwa na urafiki na China US na Russia, I fail to understand...mnataka tuwe na urafiki na US tu????like serious? For what? Lets do business...lets go for the higest bidder....Maslahi ya taifa kwanza...
mkuu bia zinanifungua akili. umewahi angalia movie inaitwa limitless (2011)? kuna bradley cooper na de niro.Mamaezako mwenyewe..
Na hyo familia yako ina hasara kama inamtegemea mtu ambaye anatafta mbinu akilewa..
Russia iko dunia ya pili ndugu yangu, wanaperform kwenye viwanda vya silaha pekee lakini huwezi kulinganisha ujerumani na russia. Wajerumani wana reserve ya gas ya miaka 15 ijayo na hata sasa baada ya kuona nyodo za russia wanaplan kununua gas marekani. Kitu wanachoona wanapoteza ni soko la viwanda vya magari na technologia mpya ambazo wanaziuza sana ktk soko la urusi.Russia is back, Soviet ilipovinjika viwanda vya Russia viliyumba sana, sasa wamerudi magari wanatengeneza zana za kivita ndo usiombe, petroleum haswa gas Europe inaitegemea Russia over 85%. Ndo maana wanakiburi sana kwasasa muulize ujerumani na nchi zingine kwasasa wanalia Russia na yeye kawawekea vikwazo bidhaa zao zinaoza sasa
Russia iko dunia ya pili ndugu yangu, wanaperform kwenye viwanda vya silaha pekee lakini huwezi kulinganisha ujerumani na russia. Wajerumani wana reserve ya gas ya miaka 15 ijayo na hata sasa baada ya kuona nyodo za russia wanaplan kununua gas marekani. Kitu wanachoona wanapoteza ni soko la viwanda vya magari na technologia mpya ambazo wanaziuza sana ktk soko la urusi.

always negative opinions when it comes to serikali.
Sasa unaona jinsi gani German &Co wanavyoihitaji Russia na wanajua kabisa ili kuwa na ushirikiano mzuri na eastern Europe lazima waiheshimu Urusi.
serikali yetu imvyopenda sifa za kijinga itaanza kugawa rasiliimali kwa warusi ili kweli ionekane iko active kwenye int'l cooperation.
Kwa dunia ilivyo sasa hivi kila nchi iliyo serious inazihitaji nchi nyingine, si rahisi kuishi kama kisiwa.Sasa unaona jinsi gani German &Co wanavyoihitaji Russia na wanajua kabisa ili kuwa na ushirikiano mzuri na eastern Europe lazima waiheshimu Urusi.