PUTIN ON AFRICA AND AFRICANS

Ni muhimu kujua u fake au uhalali wa source au ni kudadavua mantiki ya maneno hayo?!? kuwa na interest zake Afrika hakumzuii kusema anachokiamini, Tajiri Dangote pamoja na kuwa na uwekezaji TZ alisema anachokiamini kuhusu TZ!
Hii ni fake news, Putin hakusema hayo. Kusema kasema hayo ni uongo. Hatutaki uongo.

Unabisha? Hii ni fake news au si fake news?
 
Hii ni fake news, Putin hakusema hayo. Kusema kasema hayo ni uongo. Hatutaki uongo.

Unabisha? Hii ni fake news au si fake news?
I don't care what is the source,kinachonifikirisha ni mantiki ya maneno hayo
 
I don't care what is the source,kinachonifikirisha ni mantiki ya maneno hayo
Hujamfanyia haki Putin kama unakubali maneno haya yametoka kwa Putin wakati hayajatoka kwa Putin.

You should care about the source, the source is part of the news, it is part of the narrative, it lends credibility to the news.

If you do not understand that, you do not understand anything.

Kama wewe Johnson Fundi unafikiri Aafrika ni hivi na vile, sema kwamba mimi Johnson Fundi nafikiri Aafrika ni hivi na vile.

Usimsingizie Putin kasema ili habari yako ipate kiki.

Ukimsingizia, hata kama unachosema ni ukweli, ila umemsingizia Putin, watu wanaochunguza mambo watasema "huyu muongo muongo, kamsingizia Putin kusema haya mambo, kwa uongouongo wake huu, inawezekana hata haya mambo yenyewe kadanganya".

Sasa kwa nini umsingizie Putin kusema mambo ambayo hajasema?
 

Russian President Putin Calls Africa a Cemetery
 
Ukweli unauma sana na sioni busara ya kumlalamikia Putin wakati viongozi na matajiri wetu hiyo ndiyo staili ya maisha yao?
Jee wewe ukiwa na tabia ya kumdhalilisha vibaya sana mama aliyekuzaa na akatokea mtu mwingine mama yako. Nani anastahili dhambi za matusi hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…