Umedhamiria kutudanganya na kupindisha historia.Wewe unaota ndoto ukisukumwa zaidi na imani za kidini kuliko uhalisia. Wewe hujui kwamba nia ya kwanza kabisa ya dikteta Putin ilikuwa ni kuinyakua Ukraine yote ili apandikize kibaraka kama alivyofanya Belarus lakini uwezo ukawa mdogo ndipo akaenda kubana huko mashariki mwa Ukraine.
Hapo Helsinki Finland katika kikao hiki Cha kiusalama hasa juu ya Putin kuingilia uchaguzi wa Marekani, Trump alifeli kutoa lawama na shinikizo kwa Putin kiasi kwamba Bwana Trump akabaki kama chawa wa Putin jambo lililoleta ukelele mkubwa katika dunia ya kimagharibiWakumbushe wasiojua
Putin ana fahamishwa tena !? 🤣🤣🤣Hiyo ndio diplomatic unaombwa mambo yaishe kwa maelewano vizuri sasa ukianza kuleta ujanja janja kama Iran unapigwa. so Putin anafahamishwa polepole
🤣🤣🤣 Nisaidie kuulizaKwahiyo Putin akikaidi amri za Trump anapigwa ka Iran?
Russia haiwezi kuachia maeneo labda kama wanaotaMnataka Putin pamoja na Viongozi wenye busara kama Trump wajirudie mara ngapi kuzungumza kwamba wa address kwanza tatizo la eneo hilo linasababoshwa na nini.
Trump na wasaidizi wake ambao unawatuma mara kwa mara kwenda kuchunguza kiundani mgogoro wa eneo hilo unasabishwa na kitu gani hasa? baada ya kufanya uchunguzi wanakuja na mapendekezo yao na kumpatia Trump ili ayapitie na kujiridhisha, ndio maana unamsikia Trump anazingumzia masuala ya give and take, yaani Ukraine ikubali kupoteza baadhi ya maeneo yao na Urusi ikubali kuirudishia Ukraine baadhi ya maeneo Urusi iliyo yateka vitani, it is that simple but fair, lakini Zelensky akileta ubishi bishi husio na maana basi akae akijua kwamba Urusi ikihamua ina uwezo mkubwa wa kuiteka na kuikalia Ukraine nzima na wala Trump hataingilia kati kumsaidia Zelensky kutokana na ubishi bishi na kiburi cha Zelensky kisicho kuwa na mantiki hata kidogo!!
Acha uongo chanzo Cha vita ni USA NA EU kutozingatia makubaliano ya mkataba wa Minsk , Mkataba ambao waliingia na Russia wakakubaliana kwamba NATO hawapasei kujitanua zaidi Kwa kuisogelea Russia mlangoni mwake ili kulinda amani ya Russia , so kilichotokea ni NATO kuvunja hayo makubaliano na kuishawishi Ukraine ijiunge na NATO kitu ambacho Russia hataki kwasababu anaona ni threat Kwa usalama wa Taifa lake , hicho ndio chanzo Cha vita chanzo ambacho Kwa macho ya kawaida tuna amini hivyoWewe unaota ndoto ukisukumwa zaidi na imani za kidini kuliko uhalisia. Wewe hujui kwamba nia ya kwanza kabisa ya dikteta Putin ilikuwa ni kuinyakua Ukraine yote ili apandikize kibaraka kama alivyofanya Belarus lakini uwezo ukawa mdogo ndipo akaenda kubana huko mashariki mwa Ukraine.
Iko shida ktk maamuzi na kiutendaji naona njia anayoitumia kwenye migogoro haendi kwa step anataka iishe haraka ambapo inakuwa jambo gumu sana, kumbuka migogoro mingi imegusa maisha ya watu sasa kuwaponya majeraha inahitajika hekima na busara sana na kusikilizana kwa kina.Trump anataka Peace Prize kwa udi na uvumba, ila hajui njia.
Obama alipata kwa mwaka wake wa kwanza tu
Sasa sijui ni wivu
Haswa Mkuu, hilo nalo nenoIko shida ktk maamuzi na kiutendaji naona njia anayoitumia kwenye migogoro haendi kwa step anataka iishe haraka ambapo inakuwa jambo gumu sana, kumbuka migogoro mingi imegusa maisha ya watu sasa kuwaponya majeraha inahitajika hekima na busara sana na kusikilizana kwa kina.
Hiv kuna watu wanaodharaulika kama viongoz wa kiarabu mbele ya mzunguSisi yetu ni macho tu kushuhudia laana inayoendelea kuwapata madhalimu duniani.
Kwa sasa taifa la Marekani chini ya Trump linayumba sana na halijielewi linakoelekea.
Trump amewahi kudai pesa taslim za kile kilichotajwa kuwa ni misaada kwa Ukraine.Aliwahi kufokea mbele ya Kamera na Zelensky halafu akamkaribisha tena ikulu akacheka nae na kumuahidi vitu hewa.
Kiongozi huyo wa taifa kubwa amewahi kuzuia silaha nyeti kuipa Ukraine na baadae ikazitoa bila kuleta mabadiliko yoyote kwa kumegwa kwa ardhi ya Ukraine ambapo Urusi imekuwa ikizidungua moja baada ya nyengine.
Karibuni hivi raisi Trump amekuwa akionesha mahoka ya hali ya juu pale anapotoa makeke kwa Putin wa Urusi baadae kuomba tena urafiki naye.Kichekesho zaidi ni pale alipotoa agizo la mwezi mmoja na nusu kwa Putin afanye makubaliano na Zelensky kumaliza vita.Putin wala hakufanya hivyo.
Siku chache baadae Trump akapeleka nyambizi mbili za nyuklia karibu na Urusi na Putin akampuuza kabisa..Baada ya hapo Trump akapunguza mwezi mmoja na nusu mpaka siku 12.Nazo zimepita bila Putin kutikishika.
Kichekesho kikubwa ni sasa raisi Trump kupanga kukutana na Putin ana kwa ana na kuna tetesi anataka amwachie ardhi za Ukraine ambazo Putin amezinyakuwa kutoa Ukraine.
Trump akubali tu kuwa vita walivyovifadhili vimewashinda na Putin ni mwamba kuliko yeye.
Lakini hapa mkuu tunazungumzia masuala ya vita ya Ukraine lakini naona wewe for some strange reasons unatumbukiza masuala ya Cetral Nervous System - may I know why you are determined to derail the subject and on whose interest if I may ask again??Its Better If My Brain Is Dull But A little Bit Functioning,than Your Paralyzed Body Coordination System
No Body Electrical Conduction,your Synapses Lack (NA K) Ions Pumps
So your brain doesn't Charge at all.
YOUR A WALKING DEAD,IDIOT.
Umedhamiria kutudanganya na kupindisha historia.
Chanzo cha vita vya Ukraine ni uroho na uchokozi wa NATO kutaka kuidhibiti Urusi.Wakamtumia Zelensky ambaye aliingia madarakani kupitia njama za chaguzi za kidemokrasia.
Urusi ilipoliona hilo ikataka kulisuluhisha kidiplomasia na iliposhindikana ikaamua kuingia vitani kujilinda na fitna za Zelensky.
Trump kuingilia kati sasa si lengo lakini maji yamemfika shingoni.
Aah!! Kwani wewe ulikuwa member wa inner circle ya Putin"s war planners ukajua kwamba lengo la Putin lilikuwa ni kuinyakua Ukraine yote, tupatie ushahidi wa kuaminika basi na siyo unatuletea ngonjera za BBC, CNN Al Jazeera ambao kazi zao ni his Masters VOICE basi.Wewe unaota ndoto ukisukumwa zaidi na imani za kidini kuliko uhalisia. Wewe hujui kwamba nia ya kwanza kabisa ya dikteta Putin ilikuwa ni kuinyakua Ukraine yote ili apandikize kibaraka kama alivyofanya Belarus lakini uwezo ukawa mdogo ndipo akaenda kubana huko mashariki mwa Ukraine.