PUTIN kaichukulia poa UKRAINE

umeandika vingi ila huez jibu kama umewai ona mtu mweus kweny taasisi yoyote ta kirusi au china au N.Korea , Unaonesha ujinga unekutawala mpk huez uona ukwel , mm sipo hapa kuwapamba west ila niko hapa kukufungua akili yako , Kama huonu hata kima mwenzio kweny taasisi zao unahisi hakuna watu weusi waliokulia huko ? kiufup mtu mweusi ndan ya Urusi haez toka nje kdg ya mji , nnachokuambia ni experience sio story za vijiwen kama unazozileta ww
 
Ba
Baridi ni msimu mbaya wa vita
 
Uko mweupe kwelI wewe, ni lini Urusi ilishiriki biashara za watumwa? Haya niambie lini umeona mtu mweusi North Korea? Mambo mengine yanahitaji historia zaidi kuliko mihemko. Unadhani kila nchi ni lazima iwe na weusi? Halafu wao kushikilia utamaduni wao kuna ubaya? Trump alikusudia hilo USA kuzuia mamluki wanaokimbioia huko kila kukicha. Acha mawazo ya kitumwa mkuu
 
umeandika pumba halaf hujui [emoji23][emoji23] eti kuna uhuru wa Kuongea hakuna uhuru wa kufikiri , unajua maana ya kufikiri ? ni mjinga tu ndo anapangiwa namna ya kufikir , yaan uwe huru kuongea ila usiwe huru kufikiri sasa unachoongea kimetoka kwenye kichwa chako umefikiri ndo ukamrushia aseme sio ? na ww ni miongon hao wajinga wenzio , ukiona umezuiliwa kuongea ujue umezuiliwa pia kufikiri and vice versa is TRUE , inabid SMARTPHONE ZIPANDE BEI WALE WAKULELELWA NA MASHEMEJ WASITULETEE UTOTO HUMU , bila kusahau ntajie taasisi ya Urusi au China au N.Korea yenye mtu mweusi au mwarabu au waamerika kusini au wahindi au unahisi hiz jamii hazipo kweny hizo nchi ? USHABIKI WENI UNAWATIA UCHIZI
 
huna akili ww mahaba yanakusumbua kila mtu unahisi anaendeshwa na habari za magharibi kama mnavyodanganya huko kwa wanywa vodka ? kila kitu kinaonekana halaf unataka utunge story zako za uongo na ukwel ,punguani mkubw ,hv ViDEGREE vya uchochoron vimetuletea wajinga weng mtaan yaan hawatak jifunza muda wote ubish tu
 
hlf we jamaa unamatatizo sio bure , unaandikiwa vitu open kbs ila muda wote kwenda OP hv Urusi wanakulisha nn ?
 
ww ni mpuuz , Afghanstan ipi unaizungumzia iliyopigana kumtoa Mrusi au iliyo pigana miaka 20 na USA ? Msumbiji inahusikaj hapa ? sio uhusika wake hapa au ndo unataka kutuletea matango ya vijiwen ? Inamaana hujui chanzo cha Yugoslavia kuvunjika hujui Serbia ndo chanzo hujui waserbia walijiona miungu watu kweny hilo shirikisho ? Hujui kuwa Serbia ndio alianza kuvamia mataifa shiriki ya Yugoslavia hasa yale yenye waislam wengi mfano Bosnia ebu acha ushabiki wa kipumbav , kwa upumbav huu sishangai ukimuunga mkono Urusi maana ndo aina nchi unazishabikia zenye hulka za kigaidi., Serbia aliua waislam wengi sana wa Bosnia na Kosovo pia alivamia Croatia na kuua sana ww ulitaka Dunia tukae kimya tumuache Serbia akiua hovyo huko Yugoslavia ?
 
Kiufupi ndan ya N.Korea wapo wakorea kabisa weusi na wana nywele kama wazungu pia hata China , Iran , S.Korea , Japan ,Australia , Philipines , Thaiwan , Singapole na Turkey , kote huko wapo miaka nenda rudi ila hutooneshwa kweny media wala kuwaona kwenye nyadhifa mbali mbali , zipo documentary nying sana , wanasema hawana thaman kweny jamii hata kuoa wanapata tabu sana , USIPENDE UBISHI WA KIJINGA ULIZA UFUNDISHWE , NYINY NDO MBAFANYA TUNAITWA NYAN MAANA MNA SHOBO SANA NA NGOZI NYEUPE HAO WATU WEUPE HAWATUPEND INGAWAJE ULAYA NA MAREKAN KASKAZIN KUNA UNAFUU
 
View attachment 2421027View attachment 2421028
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…