tatizo lako unapigana dhidi ya watu na sio dhid ya Ukolon , Nyerere na Mandela walipigana dhidi ya Ukolon na sio Wakolon maana mkolon anaeza kuwa mtu yeyote mf Urusi leo ni mkolon kwa maeneo kama East Moldova na Kalongard , so Mkolon sio lzm awe mzung wa magharibi ila Ukolon haubadilik ni ule ule jana , leo na hata kesho , KAMA UNGEKUWA TIMAMU UNGEELEWA UNAPASWA KUUPINGA UKOLONI WA URUSI KWA MAJIRAN , HII TABIA IPO SIKU ITARUD KWA KASI KAMA URUSI AKIFANIKIWA KWA MAJIRAN ZAKE , BILA KUSAHAU MNA MADEN MEBG YA WAKURUNGWA SO INAEZA IKAWA SABAB YA KUTAWALIWA TENA nmeandika simple sana ila INAEZEKANA kama ilivyowezekana kwa mababu zenu walianza hv hv , Wakolon wapo pwan mtu anasema hawawez kuja bara huku unasahau kuwa bara ni karibu ukilinganisha na walipotoka Ulaya , MAKOSA YALE YALE TUNAYARUDIA KARNE YA 21Kumbe kuna watu weupe hivi kiasi kwamba hawajui mkoloni ni nani? Hivi unadhani mataifa ya Afrika kukataa kuilaumu Urusi ni wapumbavu wa levo hizo? Sasa na kusaidia, wote mnaosapoti Ukraine mnaosapoti ushenzi wa ubaguzi wa rangi mbaya sana. Mnajitukana wenyewe kwa kushadidia mambo msiyoyajua. Acha kuongozwa na stori za vijiwe vya kahawa, fanya research, mbona mtandao upo tu?
[emoji23][emoji23] ww jamaa huna akili timamu na nahis sina namna ya kukuelimsha maana ushameza sumu , hv ushawai ona hata mchezaj mweusi kweny timu ya taifa ya China au Urusi au N.korea ? au kwenye serikali zao ushawai ona mtu mweusi ? Ww bado una akili za Kimah na siez kukubadili , huez sikia mabaya ya Urusi au China au N.Korea maana ubaguz upo kila kitengo yaan huez pata sauti ya kujitetea ila West kuna uhuru wa media kukosoa ubaguz , sasa ww ulivyo mpumbav unaona ndo kama ubaguz upo tu huko wanakokemea ubaguz hadharan na unaandika uchafu wako kuwa Urusi hakuna ubaguz Yaan kichwan sifuri kbs , nafunga mjadala maana naona upeo wako mdg sana hujitambuiKumbe kuna watu weupe hivi kiasi kwamba hawajui mkoloni ni nani? Hivi unadhani mataifa ya Afrika kukataa kuilaumu Urusi ni wapumbavu wa levo hizo? Sasa na kusaidia, wote mnaosapoti Ukraine mnaosapoti ushenzi wa ubaguzi wa rangi mbaya sana. Mnajitukana wenyewe kwa kushadidia mambo msiyoyajua. Acha kuongozwa na stori za vijiwe vya kahawa, fanya research, mbona mtandao upo tu?
Wewe ni mjinga na mpumbavu kabisa, unaleta western propaganda hapa? Siamini kama kuna Watanzania wapumbavu namna hii wasioweza kuchanganua mambo, stupid!![emoji23][emoji23] ww jamaa huna akili timamu na nahis sina namna ya kukuelimsha maana ushameza sumu , hv ushawai ona hata mchezaj mweusi kweny timu ya taifa ya China au Urusi au N.korea ? au kwenye serikali zao ushawai ona mtu mweusi ? Ww bado una akili za Kimah na siez kukubadili , huez sikia mabaya ya Urusi au China au N.Korea maana ubaguz upo kila kitengo yaan huez pata sauti ya kujitetea ila West kuna uhuru wa media kukosoa ubaguz , sasa ww ulivyo mpumbav unaona ndo kama ubaguz upo tu huko wanakokemea ubaguz hadharan na unaandika uchafu wako kuwa Urusi hakuna ubaguz Yaan kichwan sifuri kbs , nafunga mjadala maana naona upeo wako mdg sana hujitambui
Siongei ujinga hapa, kama hujui Ukraine asingeweza kusimama na Russia japo mwezi mmoja then you are a layman. Tuseme basi Ukraine imemshinda Russia, you win!!Niambie NATO wana ndege vita zaidi ya elfu 20 na kibonde sijui kama hata 3000 anafikisha,mkuu acha kulinganisha NATO na vitu vya ajabu.
There you are, kwa hiyo Ukraine bila msaada wa west angeshasambaratika? Kwa nini unadhani Russia unazuiwa kupata support ya mataifa mengine yaliyo tayari kushirikiana nayo? Hivi unaelewa maana halisi ya huu mgogoro na nani mnufaika? Au na wewe unafuata western narrative!?Pale kwako ukivamiwa na watu wenye silaha za moto na wewe una panga tu nafasi ikipatikana hutoomba msaada? Kupiga yowe ili usaidiwe ni moja ya namna ya kumshinda adui. Hakuna aibu katika hilo.
Hilo pekee limeonyesha hujui maana ya huu mgogoro mkuu. Nakushauri Chambard kiundani halafu utagundua kwa nini imebidi iwe hivyo. Usiwe mhanga wa propaganda za Magharibi, hata Saddam mbwa hawa walimwangusha kwa kuwaaminisha watu ujinga kuwa ni mbaya. Gaddafi naye wamemtenda hivyo hivyo, tusiwe watumwa wa fikra mkuu. Fanya tafiti, utagundua Putin is a gentleman, ila kwa sababu west wana nguvu ya media ni wale wenye analytical thinking ndio wataliona hilo. Magharibi yamekuwa makao ya shetani.Ubaya wa Ukraine na west hauhalalishi ubaya wa kukwapua ardhi. Kuna namna nyingi za kupigana na huo ubaguzi wa rangi unaousema na sio kuchukua ardhi halali ya nchi nyingine.
Huna ulijualo kuhusu ukoloni, tumia kichwa chako vizuri. Kuna open source info za kutosha, jibidiishe kutafiti mambo usiwe unaandika vijihoja visivyo na mashiko kana hivi. Unaweza kueleza kwa ufupi asili ya mgogoro kati ya Ukraine na Russia? Unajua nini?tatizo lako unapigana dhidi ya watu na sio dhid ya Ukolon , Nyerere na Mandela walipigana dhidi ya Ukolon na sio Wakolon maana mkolon anaeza kuwa mtu yeyote mf Urusi leo ni mkolon kwa maeneo kama East Moldova na Kalongard , so Mkolon sio lzm awe mzung wa magharibi ila Ukolon haubadilik ni ule ule jana , leo na hata kesho , KAMA UNGEKUWA TIMAMU UNGEELEWA UNAPASWA KUUPINGA UKOLONI WA URUSI KWA MAJIRAN , HII TABIA IPO SIKU ITARUD KWA KASI KAMA URUSI AKIFANIKIWA KWA MAJIRAN ZAKE , BILA KUSAHAU MNA MADEN MEBG YA WAKURUNGWA SO INAEZA IKAWA SABAB YA KUTAWALIWA TENA nmeandika simple sana ila INAEZEKANA kama ilivyowezekana kwa mababu zenu walianza hv hv , Wakolon wapo pwan mtu anasema hawawez kuja bara huku unasahau kuwa bara ni karibu ukilinganisha na walipotoka Ulaya , MAKOSA YALE YALE TUNAYARUDIA KARNE YA 21
Afu kukusaidia tu we lofa, North Korea, China, Russia hazikushiriki biashara yako pendwa ya watumwa. Hayo mataifa fedhuli unayopigia debe yalichujya watumwa ambao ndio leo mnaona watu weusi (zamani wakiitwa negros). Sasa kwa ufinyu wa fikra zako unadhani hawa jamaa ni wabaguzi sana.[emoji23][emoji23] ww jamaa huna akili timamu na nahis sina namna ya kukuelimsha maana ushameza sumu , hv ushawai ona hata mchezaj mweusi kweny timu ya taifa ya China au Urusi au N.korea ? au kwenye serikali zao ushawai ona mtu mweusi ? Ww bado una akili za Kimah na siez kukubadili , huez sikia mabaya ya Urusi au China au N.Korea maana ubaguz upo kila kitengo yaan huez pata sauti ya kujitetea ila West kuna uhuru wa media kukosoa ubaguz , sasa ww ulivyo mpumbav unaona ndo kama ubaguz upo tu huko wanakokemea ubaguz hadharan na unaandika uchafu wako kuwa Urusi hakuna ubaguz Yaan kichwan sifuri kbs , nafunga mjadala maana naona upeo wako mdg sana hujitambui
Kama unataka kusikia unachotaka kuliko uhalisia endelea na ujima wako sihitaji kumfurahisha mtu 🚮🚮Siongei ujinga hapa, kama hujui Ukraine asingeweza kusimama na Russia japo mwezi mmoja then you are a layman. Tuseme basi Ukraine imemshinda Russia, you win!!
Hongera kwa kuongeza idadi ya wapumbavu mkuu.Uzi umejaa wapumbavu tupu.
Ndio inawezekana, sijajua Russia angechukua ardhi kiasi gani kama Ukraine asingepata msaada.There you are, kwa hiyo Ukraine bila msaada wa west angeshasambaratika?
Anazuiwa na nani? Kwanini hili liwezekane iwapo ana ushawishi na nguvu za kiuchumi? Wote tunaijua nguvu ya Russia, kwann mataifa yasitake kushirikiana nae katika hili? Kwann jirani zake wanamuogopa na kutaka kujilinda naye badala ya kuogopa nchi kama USA na washirika wake?Kwa nini unadhani Russia unazuiwa kupata support ya mataifa mengine yaliyo tayari kushirikiana nayo?
Eleza maana halisi ya huu mgogoro kama una elimu ya ziada. Nini tafsiri ya kufuata western narrative?Hivi unaelewa maana halisi ya huu mgogoro na nani mnufaika? Au na wewe unafuata western narrative!?
Boss, Achana na ubaya wa magharibi na uchafu wao hakuna anayewahusudu na hili nimeshalisema mara nyingi, West sio wema au wasafi, wana uchafu wa kutosha. Sasa twende kwenye sababu ya Putin kuvamia Ukraine na kushikilia maeneo. Kwann anachukua maeneo ya jirani yake? Toa hiyo elimu.Hilo pekee limeonyesha hujui maana ya huu mgogoro mkuu. Nakushauri Chambard kiundani halafu utagundua kwa nini imebidi iwe hivyo. Usiwe mhanga wa propaganda za Magharibi, hata Saddam mbwa hawa walimwangusha kwa kuwaaminisha watu ujinga kuwa ni mbaya. Gaddafi naye wamemtenda hivyo hivyo, tusiwe watumwa wa fikra mkuu. Fanya tafiti, utagundua Putin is a gentleman, ila kwa sababu west wana nguvu ya media ni wale wenye analytical thinking ndio wataliona hilo. Magharibi yamekuwa makao ya shetani.
Sitaki mawazo yako nataka kinachoendelea kwenye battle field. Kama unadhani Ukraine anaweza kuzalisha HIMARS etc basi una tatizo kubwa zaidi. Sina namna ya kukusaidia. Kama huwezi kuona kinachojiita jumuiya ya kimataifa (Marekani na NATO) wamejitahidi kuitengenezea mazingira Ukraine ishinde kwa kuwekea Urusi vikwazo, misaada ya pesa kwa Ukraine, silaha, mercenaries etc basi tena hamia vijiwe vya kahawa tu.Kama unataka kusikia unachotaka kuliko uhalisia endelea na ujima wako sihitaji kumfurahisha mtu 🚮🚮
Ndio inawezekana, sijajua Russia angechukua ardhi kiasi gani kama Ukraine asingepata msaada.
Anazuiwa na nani? Kwanini hili liwezekane iwapo ana ushawishi na nguvu za kiuchumi? Wote tunaijua nguvu ya Russia, kwann mataifa yasitake kushirikiana nae katika hili? Kwann jirani zake wanamuogopa na kutaka kujilinda naye badala ya kuogopa nchi kama USA na washirika wake?
Eleza maana halisi ya huu mgogoro kama una elimu ya ziada. Nini tafsiri ya kufuata western narrative?
Ndio inawezekana, sijajua Russia angechukua ardhi kiasi gani kama Ukraine asingepata msaada.
Anazuiwa na nani? Kwanini hili liwezekane iwapo ana ushawishi na nguvu za kiuchumi? Wote tunaijua nguvu ya Russia, kwann mataifa yasitake kushirikiana nae katika hili? Kwann jirani zake wanamuogopa na kutaka kujilinda naye badala ya kuogopa nchi kama USA na washirika wake?
Eleza maana halisi ya huu mgogoro kama una elimu ya ziada. Nini tafsiri ya kufuata western narrative?
Nitaandika mkuu, leo niko tightBoss, Achana na ubaya wa magharibi na uchafu wao hakuna anayewahusudu na hili nimeshalisema mara nyingi, West sio wema au wasafi, wana uchafu wa kutosha. Sasa twende kwenye sababu ya Putin kuvamia Ukraine na kushikilia maeneo. Kwann anachukua maeneo ya jirani yake? Toa hiyo elimu.