Putin kafumua mshono tena

... tutusa kweli hilo! Hata kwa akili ya kawaida kabisa kinachosikika ni kiarabu jitu linaanzishia uzi ujinga na wapumbavu wenzie wanampa credits! Vipofu wakiongozona hutumbukia wote shimoni ilipata kunenwa.
 
Hizi ndio ng'ombe zinazpsambaza taarifa za uongo mitandaoni.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Pro Russia wengi kama si wote ni kama manyumbu mkuu.

Niliwazarau siku moja kuna mpumbavu mwenzao alileta uzi Putin katua South Africa kwenye kikao cha Brics na wote wakajazana kushangalia.

Pale mahaba yanapozidi kutumia akili. Kila kitu unaona ni kweli, kumbe ni propaganda tu. Hilo si upande mmoja tu. Hata ule upande kinzani nako huwa wanadanganyana na wengine wajinga (siyo wapumbavu) wanajazana na kushangilia weweee. Kumbe ni story ya kutengeneza. Ni shida sana.
 
Bhc mmeletana wengi kuja na hasiraaa
sema habar za uongo zinakera
Kwa alieleta hio habar kafanya ujinga maana team putin hua c watu wa propaganda
 
Huu sasa ni uzezeta, huu mlipuko ulikuwa umetokea Lebanon.
 
Lebanon hapo mbona na sio Odesa
 
Leo ndo nimeona namna ma LGBT mnavyolalama kwenye huu uzi
 
Sidhani, hizi ni story za vijiweni tu!
Meli ya UK ije Ukraine ishushe silaha bila kuwa na ulinzi heavy?!
Acheni porojo za tandale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…