Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,413
- 3,203
Master wa ujinga.Putin ni master
Big ups to ma homie Putin!!Juzi meli ya uingereza imelipuliwa ikiwa inashusha silaha badari ya odesa. Yameshushwa mabom 4 ya kilo haswa. Kwa video nlivtoona hayo mabom sijui ni aina gani maana ni kama limelipuka ila linatoa hewa ambayo inapuliza kila kilichokaribu yake na kukisambaratisha. Nitashea video hapa ikikubali ku uploadView attachment 2706575
Tunapo sema Vijana wengi wanao shabikia Urusi kweny hii vita ni wendawazim hua mnatuona tuna waonea sasa ona ZUZU hili lime okota video uko mtandaoni likazani humu wote ni wajinga wajinga wapuuzi kama ProRussian wengineJuzi meli ya uingereza imelipuliwa ikiwa inashusha silaha badari ya odesa. Yameshushwa mabom 4 ya kilo haswa. Kwa video nlivtoona hayo mabom sijui ni aina gani maana ni kama limelipuka ila linatoa hewa ambayo inapuliza kila kilichokaribu yake na kukisambaratisha. Nitashea video hapa ikikubali ku uploadView attachment 2706575