Nimekupata Nonda. Hapo ndipo napozidi kujifunza mengi sana ambayo katika hali ya kawaida, mtu hawezi kuelewa. Hebu tuangalie huu mchezo unakoelekea.
Kama evil wishes za Westerners kwa Putin zingekuwa mishare Putin angekuwa kama nyama machinjioni. Lakini they are just wishful thinking. Tuliambiwa vikwazo baada ya matukio ya Ukaraine vitammaliza na wananchi watamchukia. Ni wazi bado ana kiburi cha kuingia Syria. Westerners wanapenda sana kumu-underrate Putin na Warussi. They have to wake up. Russia ia still a power.He will, lakini inabidi aende kwa uangalifu maana akiharibu, itamuathiri sana nyumbani. Kama asilimia ya wananchi wanaomuunga mkono sasa hivi ni wachache, hali itakuwaje watu wake wakianza kufa? Hata kama Bunge litaendelea kumuunga mkono, atakuwa na mtihani mgumu.
Uzuri wa Putin, maneno yake ni machache sana, kwa hiyo hatuwezi kujua war plan kutoka katika war room yake ina nini. Tutarajie maajabu mengi.
Nimekupata Nonda. Hapo ndipo napozidi kujifunza mengi sana ambayo katika hali ya kawaida, mtu hawezi kuelewa. Hebu tuangalie huu mchezo unakoelekea.
Putin yupo tayari kuchafua hadi kieleweke, maana anajua akipoteza hapa atapoteza kote hadi nyumbani.
Tayari kuna taarifa kapeleka kisiri huko Syria vifaa vya kila aina kana kwamba anaenda kupigana na nchi kubwa. Anajua ISIS wameifikisha dunia kwenye koo, hadi hata waarabu wenyewe wamewachoka, hivyo kwa kuwapa kichapo cha mbwa itamfanya awe kipenzi cha wengi duniani na kurejesha hadhi kwa Mrusi.
Hivyo majihadi wote waikimbie Syria na Iraq maana mvua ya jehanamu ipo itanhyesha hivi karibuni.
Ukifika hapo unakaribia kwenye ukweli mkuu ,ukweli ambao wengi itakuwa ngumu kuukubali sasa hivi hata ukiwaambia nini ila wataukubali kwa matokeo yake, ambayo hawatakuwa na uwezo wa kuyapinga kamwe na wote watakuwa wamechelewa tayari, hawatakuwa na la kufanya ila kushiriki madhara ya matokeo yake, ukweli kuwa DUNIA INAONGOZWA NA UJINGA!
Ni sir kubwa lakini kwa sasa imeanza kujulikana. Russia inachofanya pale Syria ni kuwatwanga ISIS na kuwatwanga waasi wengine wote wa Asad. Kwasababu wote hao walitengenezwa kwa mpango maalum.Nashangaa sana haya mambo. Hivi kuna mtu anaeweza kunieleza kwanini US ili-Veto kukataa ISIS kuwekewa vikwazo juzi hapa? Sijaelewa kabisa hiyo kitu.
NENDA PUTIN achana na US
....putin hana dini na atafuta upuuzi wowote unajiita dola ya kiislam huku ikiuwa wanadamu
NAIPENDA sana USA ila sipendi namna ISIS wanavyowika mbele ya US na sasa wamepata mshenzi mwenzao anayeabudu mashetani kama wao so...it gonna be fine......watakufa ISIS with their GOD
Huko syria itafika wakati kukosekana kabisa watu wa kuishi huko! Na je hawa magaidi/ISIS hawawezi kufanya mauwaji huko urus ya kujitolea mhanga?
Ukifatilia hotuba ya juzi ya Put in kule UN kasema Russia inajua yote hayo na ipo tayari kwa yote. Ndio maana bunge lao liliamua kuwafata ISIS huko walipo na si kuwangoja mpaka waje nyumbani.
Huko syria itafika wakati kukosekana kabisa watu wa kuishi huko! Na je hawa magaidi/ISIS hawawezi kufanya mauwaji huko urus ya kujitolea mhanga?
Namtafuta NN, superpower anapewa masaa mawili aondoke anga ya Syria wala habishi anaondoka kimya kimya. Juzi kati nilikutana na kundi la contractors pale Krossestrasse uso wao ulionyesha kuchanganyikiwa. Nikahisi ni kazi ya Mrusi!
Ukifatilia hotuba ya juzi ya Put in kule UN kasema Russia inajua yote hayo na ipo tayari kwa yote. Ndio maana bunge lao liliamua kuwafata ISIS huko walipo na si kuwangoja mpaka waje nyumbani.
Hebu fafanua Mkuu, uliokutana nao ni Military contractors au nini? Mrusi ameamua kuwaondolea uchovu hao jamaa na pia kama wanavyobashiri wengine, ili awin credit na friendships za huko Middle east.
Ndiyo Mkuu hao hao!