Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,552 Reaction score 64,948 Aug 17, 2025 #41 Mambo ya namna hiyo huwa hayapo, ni hadithi za kusadikika. View: https://www.youtube.com/shorts/NuyD1ilBJBw
Mambo ya namna hiyo huwa hayapo, ni hadithi za kusadikika. View: https://www.youtube.com/shorts/NuyD1ilBJBw
Tochuku JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 5,309 Reaction score 8,391 Aug 17, 2025 #42 Sangamwalogesha said: Hii ndiyo akili ya mtanzania wa kawaida, dira 2050 tutakuwa wapu kwa akili km hizi! Click to expand... Kwani wewe utakua wapi zaidi ya kwenye kifua Cha mwana ccm ukiikatikia ...
Sangamwalogesha said: Hii ndiyo akili ya mtanzania wa kawaida, dira 2050 tutakuwa wapu kwa akili km hizi! Click to expand... Kwani wewe utakua wapi zaidi ya kwenye kifua Cha mwana ccm ukiikatikia ...
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,920 Aug 17, 2025 #43 Jidu La Mabambasi said: Haya Great Thinker, una Double wa mama yako? Click to expand... Safi
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,862 Reaction score 15,056 Aug 17, 2025 #44 Chizi Maarifa said: Mnadanganyana hivi mkiwa kijiweni mnakula migagi. Click to expand... Watu mliozoea mitandao ya udaku bongo utawajua tu. Hata kiingereza kinawapa shida.
Chizi Maarifa said: Mnadanganyana hivi mkiwa kijiweni mnakula migagi. Click to expand... Watu mliozoea mitandao ya udaku bongo utawajua tu. Hata kiingereza kinawapa shida.
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,635 Reaction score 30,977 Aug 17, 2025 Thread starter #45 HAKI KWA WOTE said: Wakuu wako ni kina nani na mambo ya Putin na Trump yanatuhusu nini????angalieni vitu vya kuleta huku siyo kwa sababu unabando basi!! Click to expand... Mkuu kama udaku na kina Mondi, Baba Levo ni saizi yako, huku usikanyage!
HAKI KWA WOTE said: Wakuu wako ni kina nani na mambo ya Putin na Trump yanatuhusu nini????angalieni vitu vya kuleta huku siyo kwa sababu unabando basi!! Click to expand... Mkuu kama udaku na kina Mondi, Baba Levo ni saizi yako, huku usikanyage!
B Bukyanagandi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 11,626 Reaction score 18,233 Aug 17, 2025 #46 Jidu La Mabambasi said: View attachment 3442850 Kwa usalama hawa jamaa wako anga nyingine!!!! Click to expand... Putin ni huyo huyo hakuna cha double wala nini sijui!!!
Jidu La Mabambasi said: View attachment 3442850 Kwa usalama hawa jamaa wako anga nyingine!!!! Click to expand... Putin ni huyo huyo hakuna cha double wala nini sijui!!!
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,635 Reaction score 30,977 Aug 17, 2025 Thread starter #47 Bukyanagandi said: Putin ni huyo huyo hakuna cha double wala nini sijui!!! Click to expand... Did Putin send a body double to meet Trump? Internet is convinced Russian president never landed in Alaska Conspiracy theorists are convinced that Vladimir Putin did not actually meet Donald Trump in Alaska but sent a body double in his stead. www.hindustantimes.com Jifuatilie.
Bukyanagandi said: Putin ni huyo huyo hakuna cha double wala nini sijui!!! Click to expand... Did Putin send a body double to meet Trump? Internet is convinced Russian president never landed in Alaska Conspiracy theorists are convinced that Vladimir Putin did not actually meet Donald Trump in Alaska but sent a body double in his stead. www.hindustantimes.com Jifuatilie.