Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,448
- 23,124
- Thread starter
- #41
Ndio nachukia the West,na sababu ziko wazi:their evil! Ila siwachukii wao kama wanadamu. Mkuu maombi yangu yatajibiwa tu,Mungu si dhalimu.Kweli wewe una uchungu sana na west ndo maana nyuzi zako zote ni against US na wenzake, Unaombea west isambaratike kama ambavyo west walivyoiporomosha soviet union mpaka kuwa russia kweli west si watu wazuri. endelea kuomba mkuu labda maombi yako yatajibwa