Nilitegemea mwandishi aandike Zelensky badala ya Putin!Maana Zele ndio kakoswakoswa kuuwawa akiwa nchini Kwake Kwa ajali ya makusudi ya kugongana magari na akanusurika!Putin Kama anajua matawi, wapinzani wake wanajua mizizi.
Tena mnatakiwa muombe aendelee kuwa hai,maana Putin ni mstaarabu sana! Successor wake Medvedev hacheleweshi nyani,hii SMO chap ingekuwa imeshabadilishwa jina!Waliue tu. Dunia patakuwa mahali salama zaidi 🚮🚮🚮
Kweli kabisa. Nimeshangaa kuona hii habari hapa. Wakati Putin amefanya ziara huko Turkey na hakuna chombo kikubwa chochote cha habari kimeripoti hili jambo.Nilitegemea mwandishi aandike Zelensky badala ya Putin!Maana Zele ndio kakoswakoswa kuuwawa akiwa nchini Kwake Kwa ajali ya makusudi ya kugongana magari na akanusurika!
Sasa kweli Putin apate ajali halafu vinlog uchwara ndio vijue?
Punguzeni habari za michuzi blogs!
Ili dunia iwe salama,basi urusi inatakiwa iwe strong zaidi. Otherwise mtaonewa sana hasa nyie wa shithole countries.Waliue tu. Dunia patakuwa mahali salama zaidi 🚮🚮🚮
Hawa jamaa ni propaganda mwanzo mwisho,halafu mbaya zaidi hazifanani na ukweli!Ukiangalia source zao Sasa,ni vinlog michuzi kama vya bongo ambavyo vinavutia wasomaji Kwa habari za uongo!Kweli kabisa. Nimeshangaa kuona hii habari hapa. Wakati Putin amefanya ziara huko Turkey na hakuna chombo kikubwa chochote cha habari kimeripoti hili jambo.
Sema hizi ni zile propaganda za Ukraine na hiyo ajali alipata Zelensky na sio Putin.
Hapana. Huyu jamaa akili zake siyo nzuri. Hicho kinu cha nyuklia anachokichezea kikitema sumu wanasema Chenobyl cha mtoto na madhara yake hayataishia Ulaya tu bali ni mpaka Afrika; na kuna uwezekano wa kubadili kabisa hata mfumo wa majira. Yote haya yatokee kwa ajili ya ego ya mtu mmoja tu.Ili dunia iwe salama,basi urusi inatakiwa iwe strong zaidi. Otherwise mtaonewa sana hasa nyie wa shithole countries.
Upeo wako ni mdogo!Kama unafikiri kumuua Putin ndio mwisho wa SMO Ukraine!Tena Putin anawapeleka mdogo mdogo sana!Hapana. Huyu jamaa akili zake siyo nzuri. Hicho kinu cha nyuklia anachokichezea kikitema sumu wanasema Chenobyl cha mtoto na madhara yake hayataishia Ulaya tu bali ni mpaka Afrika; na kuna uwezekano wa kubadili kabisa hata mfumo wa majira. Yote haya yatokee lwa ajili ya ego ya mtu mmoja tu.
Ni yale yale. Dunia ilikuwa wapi kumuua Hitler wakati akileta maafa karibia dunia nzima?
Dunia iko wapi wakati Putin anataka kuiangamiza dunia nzima? Maana kwa ego yake yuko tayari hata kunukisha nyukilia. Na atakayeathirika zaidi ni sisi huku Afrika. Kwa nini mtu mmoja tu aruhusiwe kufanya haya?
Mi nasema waliue tu kama inawezekana ili dunia isiangamie! 🚮🚮🚮
Mkuu hii vita ikiisha unastahili pongeziJamaa anaishi maisha magumu sana, anasakwa kwa kila namna, wamekamatwa hadi walinzi wake wa karibu baada ya jaribio la kumuua...
Vladimir Putin has survived an assassination attempt while in his limousine, it has been claimed.
The Russian president is said to have been targeted when ‘a loud bang sounded from the left front wheel’ before ‘heavy smoke’ billowed out.
According to the anti-Kremlin Telegram channel General SVR, Putin was travelling in the third car of a five-vehicle convoy on an unknown day.
The post read: ‘The first escort car was blocked by an ambulance and the second escort car drove around without stopping because of the sudden obstacle.’
It was allegedly during this detour that the explosive noise was heard.
Sources say Putin’s driver had problems with control but managed to keep driving without stopping and get him home unharmed.
The Kremlin has since arrested multiple people, including several of Putin’s bodyguards, according to the Telegram channel.
Putin 'survives assassination attempt when he was targeted in his limo'
The Russian president was reportedly targeted when 'a loud bang sounded from the left front wheel' before 'heavy smoke' billowed out.metro.co.uk
Upeo wangu mdogo au mkubwa hiyo haijalishi. Mi naomba waliue tu ili lisije likatufikisha kwenye nyuklia. Kasayari kenyewe ni haka haka hakuna kengine. Au wewe mwenye upeo mkubwa una mahali pa kukimbilia? Wapi? Njombe au Mars? 😁😁😁Upeo wako ni mdogo!Kama unafikiri kumuua Putin ndio mwisho wa SMO Ukraine!Tena Putin anawapeleka mdogo mdogo sana!
Hiyo ZPP anayeshambulia ni nani?Hata wakati wa waangalizi wa kimataifa,Ukraine alijaribu kushambulia na akazuiliwa Kwa mapigo makali!Mpaka waangalizi wa kimataifa wakailaani Ukraine Kwa kitendo hicho!
Ndio nakwambia successor wake hana mswalia mtume,ombeni aendelee kuwa hai mpaka vita hii iishe!Upeo wangu mdogo au mkubwa hiyo haijalishi. Mi naomba waliue tu ili lisije likatufikisha kwenye nyuklia. Kasayari kenyewe ni haka haka hakuna kengine. Au wewe mwenye upeo mkubwa una mahali pa kukimbilia? Wapi? Njombe au Mars? 😁😁😁
Mkuu inaonekana unalipwa posho na Ukraine si kwa tulisha hizo habari.jitahidi uwe unaripoti na habari za hapa kwetu Tanzania tuna matatizo mengi pengine kuliko hiyo vita ya Ukraine ndio ombi langu.Jamaa anaishi maisha magumu sana, anasakwa kwa kila namna, wamekamatwa hadi walinzi wake wa karibu baada ya jaribio la kumuua...
Vladimir Putin has survived an assassination attempt while in his limousine, it has been claimed.
The Russian president is said to have been targeted when ‘a loud bang sounded from the left front wheel’ before ‘heavy smoke’ billowed out.
According to the anti-Kremlin Telegram channel General SVR, Putin was travelling in the third car of a five-vehicle convoy on an unknown day.
The post read: ‘The first escort car was blocked by an ambulance and the second escort car drove around without stopping because of the sudden obstacle.’
It was allegedly during this detour that the explosive noise was heard.
Sources say Putin’s driver had problems with control but managed to keep driving without stopping and get him home unharmed.
The Kremlin has since arrested multiple people, including several of Putin’s bodyguards, according to the Telegram channel.
Putin 'survives assassination attempt when he was targeted in his limo'
The Russian president was reportedly targeted when 'a loud bang sounded from the left front wheel' before 'heavy smoke' billowed out.metro.co.uk
Uongo umeanzia hapa kwenye Unknown day.According to the anti-Kremlin Telegram channel General SVR, Putin was travelling in the third car of a five-vehicle convoy on an unknown day
😅😅😅Upeo wangu mdogo au mkubwa hiyo haijalishi. Mi naomba waliue tu ili lisije likatufikisha kwenye nyuklia. Kasayari kenyewe ni haka haka hakuna kengine. Au wewe mwenye upeo mkubwa una mahali pa kukimbilia? Wapi? Njombe au Mars? 😁😁😁
😅😅😅jamaa analipwa si bure.Mkuu hii vita ikiisha unastahili pongezi
Hizo habari Mk254 hazionekani kuwa na ukweli wowote.Nawahurumia walinzi wake waliokamatwa.