Kibumbula JF-Expert Member Joined Mar 26, 2018 Posts 3,690 Reaction score 3,382 May 15, 2018 #1 Hatimaye rais wa Urusi, bwana Putin afungua daraja linaloziunganisha Crimea na Urusi bara lenye urefu wa km 19 na ambalo ni refu zaidi barani ulaya kwa kutumia kamaz truck kuvuka kwenye daraja hilo. Duuu. Yangu macho na masikio.
Hatimaye rais wa Urusi, bwana Putin afungua daraja linaloziunganisha Crimea na Urusi bara lenye urefu wa km 19 na ambalo ni refu zaidi barani ulaya kwa kutumia kamaz truck kuvuka kwenye daraja hilo. Duuu. Yangu macho na masikio.
Kibumbula JF-Expert Member Joined Mar 26, 2018 Posts 3,690 Reaction score 3,382 May 15, 2018 Thread starter #2 Ukraine wamelaani hatua hiyo.
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,445 Reaction score 20,809 May 15, 2018 #3 Naona wakubwa wameamua kama mbwai acha iwe mbwai, wakati wa kufanya ni sasa ama haitakaa itokee...huku Israel, huku marekani Mara urusi duuh
Naona wakubwa wameamua kama mbwai acha iwe mbwai, wakati wa kufanya ni sasa ama haitakaa itokee...huku Israel, huku marekani Mara urusi duuh
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 May 15, 2018 #4 Naona yupo na divers wa ukweli kwa tahadhali!
Kibumbula JF-Expert Member Joined Mar 26, 2018 Posts 3,690 Reaction score 3,382 May 15, 2018 Thread starter #5 13 mega pixel said: Naona wakubwa wameamua kama mbwai acha iwe mbwai, wakati wa kufanya ni sasa ama haitakaa itokee...huku Israel, huku marekani Mara urusi duuh Click to expand... Yaaani ni shidaaa.Wanyonge tumebaki tuna ruka ruka tuu kama maharagwe yaivapo.
13 mega pixel said: Naona wakubwa wameamua kama mbwai acha iwe mbwai, wakati wa kufanya ni sasa ama haitakaa itokee...huku Israel, huku marekani Mara urusi duuh Click to expand... Yaaani ni shidaaa.Wanyonge tumebaki tuna ruka ruka tuu kama maharagwe yaivapo.
britanicca JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 17,181 Reaction score 41,655 May 15, 2018 #6 Putin anatutia mashakani sisi warusi weusi
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,294 Reaction score 51,915 May 15, 2018 #7 Mume wao
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 38,534 Reaction score 31,198 May 15, 2018 #8 Kila mtu anaangalia maslahi ya nchi yake tu...
Kibumbula JF-Expert Member Joined Mar 26, 2018 Posts 3,690 Reaction score 3,382 May 15, 2018 Thread starter #9 jingalao said: Kila mtu anaangalia maslahi ya nchi yake tu... Click to expand... We acha tuu.
Najaf JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 1,545 Reaction score 2,542 May 15, 2018 #10 Daaah huo ndo udikteta!!!! Kama hutaki hama nchi!!! Sijui wamaproo wauchumi watatuambia nini?
Kibumbula JF-Expert Member Joined Mar 26, 2018 Posts 3,690 Reaction score 3,382 May 15, 2018 Thread starter #11 FAIZHAD said: Daaah huo ndo udikteta!!!! Kama hutaki hama nchi!!! Sijui wamaproo wauchumi watatuambia nini? Click to expand... Una maanisha nini kijana
FAIZHAD said: Daaah huo ndo udikteta!!!! Kama hutaki hama nchi!!! Sijui wamaproo wauchumi watatuambia nini? Click to expand... Una maanisha nini kijana
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 7,933 Reaction score 10,557 May 15, 2018 #12 Bado Majimbo Ya Rohansik Na Dornesk na yenyewe wakijisikia wanajinyakulia tu
Ip man 3 JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 677 Reaction score 558 May 15, 2018 #13 Kingsharon92 said: Bado Majimbo Ya Rohansik Na Dornesk na yenyewe wakijisikia wanajinyakulia tu Click to expand... Haaa
Kingsharon92 said: Bado Majimbo Ya Rohansik Na Dornesk na yenyewe wakijisikia wanajinyakulia tu Click to expand... Haaa
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,487 May 15, 2018 #14 Kule rohansik kila siku zinapigwa daily,tena makomando wa kimarekani wanashiriki,sema ishu imefunikwa na issue ya syria
Kule rohansik kila siku zinapigwa daily,tena makomando wa kimarekani wanashiriki,sema ishu imefunikwa na issue ya syria
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 18,846 Reaction score 39,485 May 15, 2018 #15 Jamaa mambo yao wanafanya kimya kimya.
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,271 Reaction score 29,934 May 15, 2018 #16 Mbwai mbwai tuuu
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,491 Reaction score 8,305 May 15, 2018 #17 13 mega pixel said: Naona wakubwa wameamua kama mbwai acha iwe mbwai, wakati wa kufanya ni sasa ama haitakaa itokee...huku Israel, huku marekani Mara urusi duuh Click to expand... Muda wa kuogopana umekwisha..
13 mega pixel said: Naona wakubwa wameamua kama mbwai acha iwe mbwai, wakati wa kufanya ni sasa ama haitakaa itokee...huku Israel, huku marekani Mara urusi duuh Click to expand... Muda wa kuogopana umekwisha..
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,491 Reaction score 8,305 May 15, 2018 #18 Kibumbula said: Yaaani ni shidaaa.Wanyonge tumebaki tuna ruka ruka tuu kama maharagwe yaivapo. Click to expand... Na kukanyagana!
Kibumbula said: Yaaani ni shidaaa.Wanyonge tumebaki tuna ruka ruka tuu kama maharagwe yaivapo. Click to expand... Na kukanyagana!
comrade igwe JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 7,295 Reaction score 3,950 May 15, 2018 #19 Na sisi twende Nakivubo
W wise-comedian JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 3,290 Reaction score 3,946 May 15, 2018 #20 Putin = Jiwe