nature boy
Senior Member
- Dec 22, 2012
- 127
- 127
- Thread starter
-
- #21
Mkuu nature boy upo Dar au wapi?
Hiyo ni asali ya nyuki wadogo au ile mijibaba iliyozeeka?
Uko mkoa gani
Asali ya Tabora ilishapimwa na ina kiwango kikubwa cha Nicotine kwa sababu ya Tambaku inayolimwa sana Tabora, Asali bora inapatikana Mkoa wa Singida hasa Wilaya ya manyoni kwenye vichaka vya Itigi (Itigi thickets)
kaka tupe data tuone hivyo vipimo unavyosema sio maneno matupu, istoshe hayo uyasemayo si sahihi,nyuki wanachochukuwa ni kutoka kwenye maua. Na kila kinachochukuliwa hata kwenye majani kinachujwa kwa asili na nyuki itakuwa hiyo nicotin unayoiogopa.??na pia watu wanaitumia miaka na miaka hakuna tatizo lolote
naomba kuuliza juu ya asali nyuki wadogo, unafanya bei gani kama unayo. Dodoma lita moja nilinunua 25 pale ofisi za maliasili. hapa dsm sijaona wapi nitaipata.
Kuna ripoti nyingi tu ila kwa bahati mbaya zipo mbali kidogo na nilipo. Nimepata hii moja
Kaka nimepitia report yako lakini sura ya tatu inasema wazi kuwa asali zote zimeonekana na nicotin,naomba ninukuu maneno haya "Majibu hayo yaliweka wazi kwamba sampuli zote za asali kutoka maeneo yanayolimwa tumbaku na yale yasiyolimwa tumbaku zina nikotini," ikiwa utafiti huu ni sahihi basi asali zote hazitosalimika jambo ambalo si kweli kwani hata hao waliotufunza maswala ya utafiti huko Ulaya nk hawajawahi kutoa report ya ubaya wa asali ila wameisifia ni bora kiafya.
Kuna mtu namfahamu ana asali ya nyuki wadogo, namba yake ni 0712707762naomba kuuliza juu ya asali nyuki wadogo, unafanya bei gani kama unayo. Dodoma lita moja nilinunua 25 pale ofisi za maliasili. hapa dsm sijaona wapi nitaipata.