Punish Countries Blocking Free Movement of Goods

Rufiji usihangaike bure!. Hujajua tu kuwa kuna watu aina ya 'Koba' wanaopiga kelele za kufungua mipaka ili wawe huru zaidi? Kuna watu wanataka kutumia mwanya huu kuwa huru zaidi. Yaani kuna watanzania ambao asili yao ni nchi jirani na tukifungua mipaka itawasaidia sana...Au hujui kuwa kuna warundi, waganda, wanyarwanda n.k ambao ni watanzania lakini fikra zao ziko kwenye nchi za asili zao? Kuna baadhi ya wanyarwanda walizikimbia kazi zao Tanzania baada ya kuwepo serikali mpya Rwanda....Kama wakenya walivyokwapua mali za iliyokuwa East African Community baada ya kuvunjika mwaka 1977!!!

...tangu lini kuwa huru ni kitu kibaya,mabwege kama wewe na Rufiji ndio maana hatuendelei!
 
Lakini jipya ni lipi hapa?

Mi mmojawapo wa waTz ambao tupo skeptical na hizi sarakasi za EAC. Sijaona kaa kuna kitu ambacho sisi kaa sisi tunashindwa kukifanya mpaka tuungane na ze nyang'auz na the rest kwa sababa sioni kama wanalo jipya au input ya maana. Maana kila kitu tunacho kuanzia resources( ardhi, maji, mafuta, watu), soko la ova 40 mil people, etc. Mwenye input anaeza kuzieka hapa kuni-convince otherwise.

Lakini tueke mambo ya utaifa pembeni. Most of us tend to ignore the fact kwamba technically speaking gundi ya kuunganisha EAC inatoka kwa mabwenyenye wenye maviwanda na mitaji ya kufa mtu, waliopo huko nchi za kwanza wanaotaka ku-control nguvukazi, masoko, bidhaa na resources nyingine. Hii ndio mechanism ya uchumi unaotegemea soko. Wao kwa sababu wameshika mpini wana-push the buttons ktk angle tofauti lakini hizi pilikapilika zikija kaa sawa ndio tutakapojua kuwa tumei-submit nchi yetu na kuwa watumwa moja kwa moja. Uchumi wa masoko unasababisha centralisation ya resources na itambulike wazi hii system haipo kumsaidia the common mwananchi wa 'nchi za kuchuma' (aka shamba la bibi) kaa Tz.

Lakini kaa nilivouliza ..kipi ni kipya hapa? Wanasiasa wamesaini tayari baadhi ya madokyumenti na funny enough pengine hata hawakuyasoma na kujua yanmaanisha nini. Sasa mabwanyenye wanaulizia mbona bidhaa zetu hazitoki?
 
Kwa nini unaninutakana ?

...Koba,

It will be totally wastage of time to debate with you about EAC, it seems you are closed minded, and worst of all, naive.

....now u know,una lingine?
 
I find here we are mixing two things, EAC and the projected EAF, naungana na Wa-Tz kuwa as far as the status quo is concerned EAF cant work, zaidi zitatu-spoil, much as people aren't eating POLITICS ila UGALI ambao utapatikana through swift and perfect EAC.

Of coz we need to take wth great care EAC formulation, lakini at the end of the day sioni nini tunakikwepa ktk EAC na nini tunakubaki/tutakubakali, mfano katika EPA (Economic Patnership Agreement), the current era of globalization, forces from outside zitatufanya tufungue mipaka, whether we like or not!...fate will tell!

What i see as a problm wth EAC/EAF, most of Eastafricans (esp. Kenyans/Ugandans ,incl. thier leaders, ambao nimeishi nao for quite sometime), wanaona kama EAC/EAF as an end, na sio means to an end, that is to say the regional block will solve their socio economic prblm, iwe ajira, siasa safi au hata tribal conflicts, which is wrong!, maendeleo ya nchi at the first place yataletwa na wananchi+viongozi ambako wako visioned wa nchi husika, hizi regional block zaonezea chachu tu! (catalayse the process)

Kesho na k'twa mnaungana, chinga frm Mtwara anapiga miayo pale Mchikichini, hana ajira, hana hata kipande cha ardhi,hana mtaji, hana kila kitu, atomuna Mkikuyu duka la pili toke pale alipolala kuwa ndio KIKWAZO au say KISABABISHI cha yeye kuwa hivyo (iwe hivyo kweli au hata isiwe hivyo), the next step itakuwa ni kufanya yale ambayo Wasauzi did to Wazimbabwe na waafrika wengine kule kwao, miaka 3 iliyopita, au la what English did to other non europens natives at the foot of global crisis!

Anyways fate will tell, lets wait and see how things will unfold then!
 
Rufiji usihangaike bure!. Hujajua tu kuwa kuna watu aina ya 'Koba' wanaopiga kelele za kufungua mipaka ili wawe huru zaidi? Kuna watu wanataka kutumia mwanya huu kuwa huru zaidi. Yaani kuna watanzania ambao asili yao ni nchi jirani na tukifungua mipaka itawasaidia sana...Au hujui kuwa kuna warundi, waganda, wanyarwanda n.k ambao ni watanzania lakini fikra zao ziko kwenye nchi za asili zao? Kuna baadhi ya wanyarwanda walizikimbia kazi zao Tanzania baada ya kuwepo serikali mpya Rwanda....Kama wakenya walivyokwapua mali za iliyokuwa East African Community baada ya kuvunjika mwaka 1977!!!


Naona unawachapa bakora hapa hapa bila huruma.
 
Back
Top Bottom