Punguzeni Ushuru mnafanya vitu rahisi kua vigumu

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,421
Habari wana JF

Screenshot_20230518-160907_1.jpg

Hiii sio sawa TRA yani ushuru wa hii gari milion 55 sawa na nusu bei ya hii gari uko Japan kama kijana umejichanga uchukue hii ndinga Land cruser prado milion 97 Japan lakini ukija Bongo Unailipia tena milion 55 kama ushuruu

Hii inawapelekea kama serkalii kukosa kabisa haya mapato kwanini msipunguze ili kila mtanzania aweze kumilikii haya magarii? kuna ukiukwaji mkubwa Bandalini kutokana na ushuru kua mkubwa watu wanapiga pesa baada ya milioni 55 watu wanalipia milion 30 zinaingia kwenye matumbo ya watu

Punguzeni hizi kodi mnatuumiza
 
Habari wana JF

View attachment 2626505

Hiii sio sawa TRA yani ushuru wa hii gari milion 55 sawa na nusu bei ya hii gari uko Japan kama ukijana umejichanga ukuchue Land cruser prado milion 96 Japan lakini ukija Bongo Unailipia tena milion 55 kama ushuruu

Hii inawapelekea kama serkalii kukosa kabisa haya mapato kwanini msipunguze ili kila mtanzania aweze kumilikii haya magarii? kuna ukiukwaji mkubwa Bandalini kutokana na ushuru kua mkubwa watu wanapiga pesa baada ya milioni 55 watu wanalipia milion 30 zinaingia kwenye matumbo ya watu

Punguzeni hizi kodi mnatuumiza
Kazi kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom