Punguza speed

Namahochi

Senior Member
Jan 1, 2016
138
98
Heri ya mwaka mpya wana jf wote, leo ni cku ya kwanza ya mwaka huu ni wajibu wetu kumshukuru muweza wa yote kwa kutufikisha hadi cku ya leo,
Sasa tukiwa kwenye ukaribisho wa mwaka huu mpya vilevile tusisahau na kuacha matendo yote mabaya yasiyompendeza mwenyezi mungu uliyoyafanya mwaka 2015,
sasa nakuomba hapa kupitia hii thread ebu tubu zambi zako hapa kwa kutueleza ni kipi kibaya ulikifanya kwa mwaka wa 2015 na mungu atakusamehe,
(Amin)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom